@MariaSTsehai Issue ya Lisu ni ngumu wamuache tuu mambo yashakuwa mengi siku Mungu akimuhitaji kwa muda atamuita ... lakini hawezi kuitwa na hawa vibaka akaitika.....lingine wajaribu kumuua hata kwa mfano waone
@MariaSTsehai Hivi huu ujinga wa baadhi ya viongozi kuongea kitu fulani reaction ikiwa kubwa yeye anajitoleza kuelezea tena kitu kilele kwq kujitetea kwamba hatukuelewa kama kwamba alikuwa ananena kwa lugha....
@MariaSTsehai@kilepi_tweve Ipo hivi ukikutana na mtu anayekuzidi power lazima utapungua kwake na confidence itashuka kwa asilimia kubwa ndicho kizim anachopitia kwa sasa ...kukutana na hili jabali siyo mchezo lazima upungue kivyovyote
@lifeofmshaba Huyu mama kiatu alicho kivaa ni size kubwa ndiyo maana akitembea vinajivua vyenyewe...si kosa lake tulaaumu mifumo yetu ndiyo imekaa kikuda sasa tupo hapa...
@HildaNewton21 Mimi nadhani ya nchi tuwaachie wanaccm wenyewe tena hata wapasuane migongo tuwapite kama hatuwaoni tuendelee kufocus na mabadiliko ya mfumo mzima ....huyu tunayetaka kumpigania leo akikamata usukani mambo yatakuwa yaleyale
@MariaSTsehai@lifeofmshaba Haya mavaa mipete ya majini mengi ni matapeli ndani ya vazi na kofia ya dini ya dini ya kiislam ndiyo maana hata yakimsomea mtu dua ina paa na ipo siku itachomwa moto kwa ajili ya utapeli...
@AbroadTanzania Hiki kizee nacho hovyo kweli ...hivi kwa nini mtu akisha kuwa na madaraka hapo hapo anaanza kujiona yeye anajuwa kuliko wote nakumbuka kipindi cha ndugai naye alikuwa na vimaneno maneno yaani wanatia aibu
@Royal_Tv_Tz Huwa narudia kusema siku samia anatoka madarakani ndiyo siku atawaona live waliokuwa wanamnamfikia ni watu wake alikuwa anawapa vyeo na hatokuwa na chakuwafanya na hiki kitu kitamtesa sana...zaidi ya oct 29