“Yupo anae wainua wale uliowaangusha,Yupo anae wakubali wale ulio wakataa,Yupo anae wasafisha wale ulio wachafua.Inawezekana kweli una mamlaka na ushawishi na sauti yako ina sikilizwa katika meza za maamuzi kumbuka mashauri mengi ya wanyonge mwamuzi wa mwisho ni Mungu” KAYOMBO
By engaging in tree planting initiatives, students also cultivate important life skills such as teamwork, problem-solving, and leadership.
Yesterday i participated in Green Schools event at Kisiwani Primary School,Kigamboni,Dar Es Salaam,Tanzania🇹🇿
River cleanup can reduce amount of plastic entering the ocean by 80%.
Today we will plant trees and removing litters from Tegeta River where floods affected local communities.
“Kuwa mwanamke ni zawadi,Hivyo hedhi haipaswi kuwa ni suala la miiko” Krystina
Warembo hawa wamejikita zaidi katika kuleta suluhu kwa matatizo yanayo ikabili jamii kama mabadiliko ya tabia nchi,umaskini na elimu.
Urembo ni kuishi kwa kusudi anza kujitolea hata kusafisha fukwe
Leo mapema tukifanya kikao cha tatu kuelekea tukio kubwa la Usafi wa fukwe 7 katika jiji la Dar Es Salaam Mnamo tarehe 3.6.2023 tukio litahiimishwa Kwa Kongamano la Bahari ya Hindi la tarehe 10/6/2023 katika ukumbi wa New Library Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam