Lydia anaenjoy mwenyewe,
Akiwa anawaimbia wazungu kwenye ma Hoteli makubwa huko Zanzibar..
Na wazungu wenyewe wanaelewa Vibe...
Angalia mwenyewe...
Video kwa Comments π
NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU.
Mimi SIFI kwa magonjwa au ajali wala kwa mapenzi ya yule mwovu ama ya wanadamu. Nitamaliza SAFARI yangu SALAMA na NITAFIKISHA Umri ambao BWANA amenipangia ili ATUKUZWE.
Asante YESU, Asante BABA, Asante ROHO MTAKATIFU.