VIONGOZI WETU:mwenyekiti ndugu Yoshack Malekela na katibu ndugu Masatu Francisca walipohudhuria maonyesho ya Tanzania kuelekea kilele cha miaka 60 ya uhuru wetu mjini Algiers.
#kaziIendelee
ASANTE SANA KWA MUDA WAKO, ASANTE SANA KWA UTUMISHI WAKO, ASANTE SANA KWA UHODARI WAKO, ASANTE SANA KWA USHIRIKIANO WAKO TUNAKUSHUKURU KWA MUDA NA NGUVU ZAKO ULIZOZITUMIA KUJENGA JUMUIYA YETU @uvccm_tz@kenanikihongosi NENDA KAFANYE KAZI KAKA, TUPO NYUMA YAKO NA MUNGU AKAKUONGOZE
📌MWAMBIE JIRANI YAKO
Awamu ya Sita Kazini Mama Anafanikisha Sisi tumekubali
Kiwanja cha Ndege cha Songwe-Mbeya, barabara ya kuruka na kutua Ndege kazi inaendelea.
@SuluhuSamia
@WizarayaUJnaUC
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @dr_mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchoir Ndadaye uliopo Bujumbura nchini Burundi na kupokelewa na Makamu wa Rais wa Burundi Mheshimiwa Prosper Banzombaza leo tarehe 06 Mei 2023.
📌Ndani ya miaka miwili ya Serikali ya Awamu ya Sita ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bajeti ya TARURA Mkoa Lindi imeongezeka kutoka sh. Bilioni 7.642 hadi Bilioni 27.1 sawa na ongezeko la asilimia 319.9 . @SuluhuSamia#MamaYukoKazini#Sisitumekubali
Yesterday, I visited one of the well performing Pharmaceutical Lab company-Algiers Campus (Laboratories Salem) seeking for internship opportunities for Tanzanian Students. I also opened hands for their investing interests in our Country Tz.
Mkiti wa CCM Taifa ,Mhe Rais @SuluhuSamia kupitia Sera ya Miradi na Uwekezaji ,Toleo la 2021 anakihimiza @ccm_tanzania na Jumuiya zake kutekeleza Sera hii kwa Vitendo kwa kujenga Uchumi ulio Imara na Endelevu ili kukipa sura halisi ya Chama Dola" Adv.Beatus Mafuru>
📌"Niwaase,
Jiepusheni na vitendo
viovu, Madawa ya kulevya,
uwasherati ni vitendo viovu.
Madawa ya kulevya
hayatawafikisha pazuri,
hakuna mtu ametumia hii
kitu akafanikiwa kwenye
maisha, tunamifano huko
mitaani tunayoijua." @SuluhuSamia
📌KUIMARISHA MAUSIANO YA BIASHARA
Majadiliano ya kibiasha yanayolenga
1. Uchumi wa kidijitali
2.Namna ya kuyafikia Masoko ya Marekani.
3.Mabadilikoya Kanuni na mazingira ya kufanyia Biashara.
4.Ziara za kibiashara (Trade Missions)
@KamalaHarris@SuluhuSamia
A massive congratulations to our CHAIRMAN//
Hongera nyingi kwako mwenyekiti wetu, tunategemea mengi mazuri kutoka kwako.
Félicitations Monsieur le Président
#kaziiendelee
Last Sunday, I was elected as a President of Tanzanian 🇹🇿 Community in Algeria 🇩🇿 (ATSA) to serve my second term. I’m grateful to God and fellow Tanzanians over here! Kazi iendelee.