Hizi ndio kauli ngumu wanazopenda hawa VIBAKA—kinyume na hapo hawa WASENGE wanatuona kama mikundu yao.
Asante Raisi BAK kusimama na TAL hadharani na kuwakumbusha WAKOLONI WEUSI #FreeTunduLissu
REPOST 500
Wakuu kuna haya Mashamba yanauzwa, Kama una mzigo we ruka na mojawapo:
Iringa, Wilaya ya Mafinga, Kata ya Mdabulo, Isipii.
Ekari 10: Shamba na Miti Pine (miaka 8) -> 13.5M
- Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 7) -> 21M
If you're interested in pursuing your studies in the U.S. but don't know where to begin, this is the perfect session for you. Join us as at the American Corner, located inside the National Museum in Dar es Salaam, as we break down all the 5 steps to U.S study. This session will provide for you an understanding of U.S. higher education and what it takes to pursue it. This is an in-person session. Karibuni sana!
#EducationUSA #StudyWithUS
• Tarehe 27.4.2022 @dizastavina (Black Maradona) aliachia yet another lyrical masterpiece inakwenda kwa jina la SHAHIDI. Mdundo umeundwa na Ringle Beatz. Mashairi yameandikwa na Dizasta Vina.
• Ringle Beatz ni mmoja wa watayarishaji bora katika uandaaji wa midundo ya Hip Hop. Alianza kuonekana/kusikika vizuri miaka ya 2012 wakati akiandaa midundo kwa ajili ya kipindi cha Fidstyle Friday,
• DIZASTA ametumia hadithi za vigano katika kusimulia kisa cha SHAHIDI. Huko ndani unasikiliza soundtracks za vilio na maji kuendana na kisa chenyewe cha SHAHIDI aliyenusurika katika ajali.
• DIZASTA amesimulia jinsi meli ilivyozamishwa na vyanzo saba (7). Uvivu, Ulafi, Wivu, Kujikweza, Hasira, Tamaa ya madaraka, Tamaa ya ngono. Hii ni tofauti kati ya DIZASTA na watunzi wengine.
• Maudhui ya wimbo, mpaka kati ya makundi; DIZASTA amejadili kuhusu mpaka uliopo kati ya tajiri na masikini. Viongozi na wananchi. Watawala na watawaliwa. Wasomi na wasio wasomi.
• DIZASTA ameonesha jinsi kundi moja lilivyo na ushawishi katika masuala yanayoathiri sehemu zote mbili na lingine lisivyosikilizwa katika jamii kutokana na mtazamo wa kijamii wa kutokuwa na kitu.
• DIZASTA kwa wajihi wa SHAHIDI amezungumzia; ulevi, ujinga, uzembe kazini, matumizi mabaya ya madaraka, matumizi mabaya ya rasilimali za nchi, uonevu wa vyombo vya usalama,
• DIZASTA anataja alhamisi September 07. Anazungumzia @TunduALissu kupigwa risasi 07.09.2017. Sauti za wanahabari zinasikika. Utasikia jina la Martin Maranja Masese (MMM).
• Kwa sauti ya nyuma utamsikia Mwanahabari Martin Maranja Masese (MMM) anatoa taarifa mbili; (1) kuzama kwa meli iliyopewa jina la “T-912” na (2) kupotea kwa manusura wa ajali hiyo ya meli.
• Taarifa baada ya shambulio hilo la kuogofua zinaeleza Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi jumla 38. DIZASTA katika SHAHIDI anasema alifungwa katika chumba na kuchapwa mijeredi 38.
• T-912. ‘T’ ni Tanzania na ‘912’ ni siku ya uhuru wa Tanganyika (9/12). SHAHIDI anatueleza 07/09.2017 Tanzania ilipoteza ilichokitafuta na kusimamia 9/12/1961. Uhuru, heshima, haki na usawa.
• Walinzi ni vyombo vya usalama. Mrembo ni rushwa. Chumba cha sauti ni vyombo vya habari. Sasa SHAHIDI ambaye ametajwa na kuzungumziwa katika wimbo huu wa DIZASTA ni TUNDU LISSU.
• Nakuacha na swali. Kama SHAHIDI ni Tundu Lissu, katika ile meli nani ni matajiri waliompuuza SHAHIDI? Mafundi katika meli ni nani? Wasomi ni akina nani? NAHODHA wa meli ni nani? Naomba majibu yako.
Martin Maranja Masese, MMM.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 70
Mhe. Lissu : Je Werema na yeye alikuwa mwanachama wa CCM?
George:Hapana
Mhe. Lissu : Aina za Wabunge ni waliochaguliwa, viti maalumu, walioteuliwa.
Sifa za mtu kuwa mbunge. Anasoma ya kwanza raia na yapili mwanachama wa chama cha siasa na asipokuwa mwanachama wa Chama cha siasa huwezi kuwa mbunge.
Je Frederick Werema alikuwa mwanachama wa CCM au hakuwa?
George: Huyo Hakuwa.
Mhe. Lissu : Unamfahamu Jaji Mkuu George Mcheche Masaju?
George: Huyo nimesoma nae.
Mhe. Lissu : Alikuwa mwanasheria mkuu wa Serikali?
George: Ndio
Mhe. Lissu Alikuwa mwanachama wa CCM?
George: HILO SIO KWELI.
Mhe. Lissu : Je unafahamu wakati wa Urais wa Mkapa Masaju alikuwa mshauri wake wa sheria ikulu?
George: Ni sahihi kabisa.
Mhe. Lissu: Wambie Majaji kuwa aliteuliwa kuwa naibu mwanasheria mkuu na baadae kuwa mwanasheria mkuu wa serikali?
George: Ni sahihi kabisa.
Mhe. Lissu : Na sasa Samia kamteua kuwa Jaji Mkuu?
George: Ni sahihi kabisa.
Mhe. Lissu ; Ni sahihi alikuwa Jaji wa Mhakama ya rufaa na anafanya kazi Ikulu?
George: Ni sahaihi alikuwa anafanya ikulu.
Mhe. Lissu ; Unafahamu Samia anahamisha wamasai ngorongoro kwenda Muheza?
George: Hilo sijui kabisa.
Anasimama KATUGA kumewaka hapa naona. Waheshimiwa Majaji mahakama inaweza inaweza kuzuia maswali kwa mujibu wa kifungu cha 167 cha sheria ya ushahidi.
Anasema sasa naomba huyu mtu azuiwe huko anakotaka kwenda japo anaruhusiwa kuuliza chochote swala la Ngorongoro na masuala ya Rais hayahusiani kabisa. Ametuhamishia Ngorongoro.
Mhe. Lissu : Waheshimiwa Majaji mimi nataka kumuonyesha ni kwa namna Gani huyu Jaji Mkuu Masaju ni mtu wa Rais Hawa wanafikiri Rais ni semi GOD huyu mtu ni Rais sio MUNGU kabisa tunaweza kumtaja kabisa.
Wao walisema Majaji ni watu wa Rais hayo maneno nimesema mimi sasa wavumilie mimi niulize maswali tafadhali.
Majaji wanateta muda huu. Sijui watakuja na mwongozo gani?
KIMENUKA HASWAAAAA😂😂
Jaji Nduguru anawasha kipaza sauti chake hap baada ya kuteta na wenzake.
Huwa hatupendi kuingilia kabisa cross examination naomba tujiconfine na jambo kubwa lililopo hapa.
Hebu tuendelee basi jaji anasema.
George ; sijui kama kuna suala la kuhamisha wamasai kule ngorongoro.
Mhe. Lissu : Na unajua kama Masaju aliongoza timu ya washauri kumshauri Rais hadi kuhamisha wamasai na baadae ndio ameteuliwa kuwa Jaji Mkuu?
George: Hilo sijui.
Mhe. Lissu : Je unafahamu 1964 hadi 1994 watu ilikuwa ni lazima wawe wanachama wa CCM?
George: NI SAHIHI KABISA.
Mhe. Lissu : Je unafahamu kipindi hicho chote ukitaka kuingia chuo cha kwanza wanauliza kadi ya CCM?
George: SIJUI HILO.
Mhe. Lissu : Ukitaka kuwa mtumishi wa umma katika kipindi hicho lazima uwe mwanaCCM katika kipindi hicho?
George : Sijui kabisa.
Mhe. Lissu : Hufahamu kwasababu hamjui historia ya nchi hii.
Waeleze majaji Jaji Elizer Feleshi, Ferdinand Wambari, Jaji Masaju, Amir Mruru, Leila Mgonya, Mustapha Ismail Kambona, Sam Rumanyika hao wote ni wanaCCM kwasababu nilienda nao JKT?
George: Mimi sifahamu
Mhe. Lissu . JKT yenu ilikuwa ni oparesheni Chama yani ni Oparesheni Programu CCM.
George Hapana
Mhe. Lissu : Je hao wote niliowataja sema kama waliwahi kutangaza popote kuacha kuwa maCCM?
George: Sijawahi kusikia.
Mhe. Lissu : Mimi mwenzao nilitangaza kuacha kuwa mwanaccm nikawa Chadema je hao walitangaza lini?
George : Sijui.
Mhe. Lissu : Je unamfahamu Agustino Ramadhani alikuwa Jaji Mkuu?
George: Ndio nafahamu.
Mhe. Lissu : Sasa alivyomaliza Ujaji akaenda kuchukua fomu ya urais CCM je alijiunga lini CCM? Alijiunga zamani sana kabla ya mfumo wa vyama vingi. Je aliacha lini kuwa mwanaccm?
George: Sijui kabisa.
Mhe. Lissu : Jaji Mwambegele unamfahamu yule wa tume ya Uchaguzi?
George : Namfahamu.
Mhe. Lissu : Je aliteuliwa na Rais kuwa Mwenyekiti wa Tume?
George: Ni sahihi kabisa.
Part 71 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba repost yako kwenye tweet hii.
Mwishoni mwa wiki iliyopita, Ubalozi wa Marekani uliungana na Catherine Njau, mhitimu wa Programu ya Fulbright TEA, pamoja na taasisi yake ya Kuleana na TELTA, kuzindua mradi wa elimu unaofadhiliwa na Chico Rotary Club. Mradhi huu wa mwaka mmoja utawanufaisha wanafunzi 4,000 katika shule 20 mkoani Kilimanjaro, ukitoa elimu ya stadi za maisha ili kuboresha afya ya vijana na kusaidia wanafunzi kubaki shuleni. Jitihada kama hizi zinazoongozwa na wahitimu wa programu zetu zinachangia kujenga jamii zenye afya na elimu bora, na kuendeleza vipaumbele vya Marekani na Tanzania.
@ZuwenaKhatib@rollymsouth Sio kwamba wamepunguza ujazo ila ni kwamba inatumika gas aina ya Propane ambayo ni nyepesi sana. Hii inatumika kule kwenye nchi za baridi. Huku kwenye joto inatakiwa gas aina ya Butane. Propane ni cheap kuliko Butane. Hapa ni kwamba tuna pigwa bei ya Butane yet wanaleta propane.
Ukiacha masomo, ukikosa kuhudhuria vipindi, au kuondoka kwenye programu yako ya masomo bila kuijulisha shule yako, visa yako inaweza kufutwa, na unaweza kupoteza sifa ya kupata viza za Marekani siku zijazo.