@godbless_lema Wanapata faida gani kukatisha uhai wa mtu kwa maslahi yao?kusababisha uchungu kwa familia za wengine?Yupo Mungu alietupa uhai sisi sote,na ndiye atakae chukua roho zetu sisi.Mungu naomba utende sasa"kisasi ni changu mimi,Mimi nitalipa"asema Bwana wa majeshi.