@INFLUENCERjr Mzee wale wana miundo mbinu mizuri mtu ana option ya kutumia gas,umeme kwenye kupika ww nishati yako kubwa ukijitahidi ni gas ukute haipo mama ipi itaamka saa10 ikuandalie chakula au tufanye unakaa chanika unatakiwa uwahi kkoo mda wa kuandaa chakula ni saa ngap ili uwah?๐