Tanzanian opposition leader Tundu Lissu, imprisoned and facing a possible death sentence, has been nominated for the EU’s top human rights prize.
He is on trial for treason, which he denies, since April 2025. The nomination was made by the European People’s Party.
The EPP Group has nominated lawyer, human rights activist and politician Mr Tundu Lissu as a candidate for the Sakharov Prize.
After surviving a 2017 assassination attempt, Mr Lissu returned to Tanzania to continue advocating democratic reform, only to face arrest, treason charges and exclusion from the 2025 presidential election, while his party was barred from participating.
His case reflects the wider erosion of democratic pluralism and political competition in Tanzania.
For the EPP Group, Mr Lissu represents a powerful combination of personal courage, democratic conviction and geopolitical relevance. His nomination affirms that Europe stands with those defending constitutional democracy and political freedom in Africa and in other partner countries of the EU. Mr Lissu embodies the defence of democracy, political pluralism, the rule of law and fundamental freedoms at extraordinary personal cost.
The Sakharov Prize for Freedom of Thought is the highest tribute paid by the European Union to human rights work.
A Burundian comes, buys a 200 Bob bucket & 500 Bob thermos, starts cooking kahawa and mandazi, goes around every morning selling to anyone. A Kenyan idiot, sits their buttocks somewhere saying that the Burundian guy is the cause of their unemployment. Very idiotic. Very stupid.
"Hao watu wanaosema kwamba @HecheJohn ananizuia mimi kutoka gerezani ni kina nani?. Waambieni hivi mimi nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapopatikana, huo ujinga! ujinga! wa hao wapokea pesa za Lumumba na ukome." Mhe. @TunduALissu
One day, you will pay school fees, hospital bills, and salaries.
You will stay awake calculating figures while others sleep peacefully.
It is the day you will realize your father carried a weight you never understood.
Now it is your turn,
The burden is heavy, but it is SACRED.
Your FATHER carried it, now carry it for your son.
LISSU akipiga stori na Maaskari wa Magereza wakati wa mapumziko alikuwa akiwaelezea mwenendo wa kesi yake huku wakimuuliza maswali nae akiwapa SHULE YA SHERIA.
Wanaulizana na kupiga stori. Hata Maaskari wanamkubali sana Lissu.
Katika kesi inayomkabili Mheshimiwa Tundu Lissu, historia yake ya maisha, struggle yake, alikotoka na safari yake hadi alipofika si hadithi ya pembeni. Ni sehemu ya narrative ya utetezi inayolenga kuonesha character yake, misimamo yake, commitment yake kwa nchi na gharama kubwa alizolipa katika kusimamia demokrasia, haki na utawala wa sheria.
Hii si kesi ya kawaida. Ni kesi ambayo, ikiwa itamalizika kwa hukumu ya hatia, inaweza kuwa na adhabu ya kifo. Kwa mazingira hayo, kumtaka mshtakiwa aharakishe utetezi wake ni jambo linalopaswa kutazamwa kwa umakini mkubwa.
Hata kama utetezi wa Lissu utachukua mwaka mzima, huo si muda mrefu ukilinganisha na adhabu inayoweza kumpotezea mtu maisha yake milele.
Mahakama inapaswa kuwa na uvumilivu wa kutosha kuhakikisha kwamba kila jambo la msingi katika utetezi linasikilizwa. Ufanisi wa mahakama ni muhimu, lakini haki ni muhimu zaidi.
Kwa kesi yenye matokeo yasiyoweza kurekebishwa, hakuna muda unaoweza kuwa mrefu kuliko thamani ya maisha ya mtu.
Hakuna haraka inayopaswa kuwa kubwa kuliko haki.
Mzee @freemanmbowetz
Wanyama wa porini huua/kupigana kwa sababu zinazohusiana na mahitaji ya kuishi: chakula, kujilinda, kulinda watoto au eneo. Simba anawinda kwa ajili ya chakula siyo mateso, chuki, kisasi
Binadamu ni viumbe katili zaidi ya wanyama. Binadamu anaweza kumdhuru mwingine kwa sababu ya chuki, ubaguzi, tamaa, kulipiza kisasi, madaraka au kwa sababu anaona mwingine hafai kuishi
Kutoka Mikocheni kwenda ilipo Mahakama Kuu ya Tanzania ni umbali usiozidi 5KM. Kutoka Mikocheni kwenda Rufiji ulipo mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) ni umbali wa 260KM
Unaweza kusafiri kwenda mkoa mwingine kwa zaidi ya saa tano kuhudhuria shughuli za Serikali katili ya CCM lakini huwezi kutumia dakika 10 kutoka kwako kwenda Mahakama Kuu katika kesi ya TAL?
Huwezi kwenda safari ya 5KM kumuona Mwenyekiti wako wa chama, aliyerithi kiti chako katika uchaguzi HURU na HAKI lakini unaweza kwenda 260KM kuungana na watesi wa Mwenyekiti wako?
Nini muhimu zaidi kwako? Ni wewe ulitueleza miradi ya maendeleo haiwezi kuwa mbadala wa haki za binadamu. Leo kuna watu wanatekwa na kupotezwa, wanashtakiwa kwa ugaidi na uhaini. Hujui?
Lakini umechagua nini? Nimekusikiliza ukisema “mradi wa JNHPP usichukuliwe kisiasa kwa kuwa ni mradi unaokwenda kusaidia uchumi”. Umesahau ulitueleza nini kuhusu miradi ya MAGUFULI?
Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe kwa sasa ni ‘mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA - ni kutokana na hiki kinachoitwa ‘ustaafu’ wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa
Kwa maana kwamba, Freeman Mbowe yupo katika kundi sogozi la WhatsApp na mengine (kama yapo) ambayo wajumbe wa kamati kuu wanajadili kwa hisia zao tofauti masuala mbalimbali ya chama
Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu CHADEMA huwezi kwenda Mahakamani katika kesi ya kiongozi wa chama, lakini unaweza kwenda katika shughuli zinazoongozwa na mwenyekiti wa CCM
Freeman Mbowe umesahau, wakati ukishtakiwa kwa makosa ya uongo ya UGAIDI, Tundu Lissu alikuwa Belgium akijiuguza majera ya risasi. Aliomba kukutana na Rais alipokuwa Brussels
Pamoja na mambo mengine waliyokubaliana, alisema Mwenyekiti Freeman Mbowe aachiwe ndiyo tufungue ukurasa mpya. Tundu Lissu alitujulisha mwenyewe hayo alipozungumza na umma.
Tundu Lissu akiwa na siku 500 gerezani. Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe hujawahi kukanyaga Mahakamani kuanzia Kisutu hadi Mahakama Kuu hata kwa bahati mbaya.
Saa 24 baada ya Mahakama Kuu kusema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya UHAINI ya uongo na uzandiki, Freeman Mbowe unaibuka katika shughuli za Serikali ukiwa na MAWAZIRI.
Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya CHADEMA umekataa kabisa kuhudhuria shughuli zozote za CHADEMA lakini unaweza kuhudhuria shughuli unazoalikwa na WATAWALA KATILI wa CCM.
Unahudhuria shughuli za Serikali umeongozana na mawaziri wa Serikali katili ya CCM wakati ambao wanachama na wafuasi wa CHADEMA kwa mamia wamekamatwa na kushtakiwa kwa UGAIDI?
Mzee Freeman Mbowe umesahau haraka. Kuna watu walifungwa gerezani, wengine sasa ni walemavu, wengine sasa ni marehemu kwa sababu ya kupigania jina lako ukiwa kiongozi wa chama chetu.
Umesahau, wakati unakamatwa na Serikali katili ya CCM, 2021, wanachama wa CHADEMA walikwenda kuonyesha ‘solidarity’ na wewe pale KISUTU. Walikamatwa, wakashtakiwa, wakafungwa
Najutia zile siku nilisimama nawe, kukutetea na kunadi jina lako kwa nia njema kabisa nikifikiri unapambania uhuru, haki na mabadiliko ya kweli. Haikuwa hivyo. Ulitudanganya tukishindwa.
Nasema kwa kuwa kwa hiari yangu, niliamua kusimama nawe, kukunadi katika mazingira ambayo ilionekana ni kama kuuza kitimoto Mecca. Lakini sikutarajia tukishindwa, tuisaliti CHADEMA
Wengine sasa tumeelewa kwa kuchelewa sana. Hii chuki haiwezi kuwa ya kushindwa uchaguzi. Lazima kuna mafekeche mengine. Kuna kingine kimeujaza chuki moyo wako. Je, kuna mrija, umekatwa?
Najutia kumpa mtoto wangu jina lako, Freeman.
The IDU is gravely concerned by today's High Court ruling in Dar es Salaam ordering our Vice Chairman @TunduALissu to stand trial for treason — a charge carrying the death penalty.
After 16 months in detention for a speech, this ruling prolongs a politically motivated prosecution designed to silence Tanzania's opposition. We call for his immediate and unconditional release, and urge democratic governments worldwide to do the same. #FreeTunduLissu 🇹🇿
Pay attention! Lissu ameanza kujitetea kama shahidi namba moja wa upande wa UTETEZI kwenye kesi ya Uhaini.
Utangulizi wake ameanza kuelezea historia yake ya uongozi ndani na nje ya chama, elimu, uaminifu & tuzo mbali mbali za uadilifu alizopata kutokana na kuwa mtu wa heshima. Pamoja na hayo yote, ameeleza gharama ambazo amelipa akipigania haki, ikiwemo yeye kupigwa risasi. Lissu ameeleza mengi kama msingi (FOUNDATION) wa kesi ya utetezi.
Halafu, akaeleza MATATIZO ya Sheria za uchaguzi na uchafu wake. Fuatilia suala hili la uchaguzi kwa umakini mkubwa kwa sababu, huu ndio MSINGI MKUU wa utetezi wake & atatumia hoja hii hapo baadae kuiambia mahakama ni kwanini alihamasika kuamini kwamba, kuna sababu ya msingi uchaguzi usifanyike (No Reforms, No Election). Ila pia ataiambia mahakama ni kwanini anaamini kwa kufanya hivyo sio kosa la Jinai kwa mujibu wa sheria za nchi.
Tutashinda tu...
Juzi baada ya kumpost Bibi yake @DEUSDEDITHSOKA , watu wengi mliomba tufanye jambo kwa ajili ya Bibi yake Soka.
Sasa, jana Mwenyekiti wa Bavicha Kanda ya Pwani @JohnNgutiCDM pamoja Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Kilimanjaro @AchibodM walienda Kijijini kumtembelea Bibi yake Soka baada ya kuzungumza nae, kuna vitu vya muhimu ambavyo Bibi anahitaji ikiwemo ni Bima afya.
Hivyo tunaomba kila mmoja aliyeguswa na jambo hili atume mchango wake kwenda kwenye-;
Mpesa : 0740498941
Jina: Theresia Soka.
NB. Tunakusudia kukusanya milioni tano.
REPOST 200
Nimesoma taarifa ya hii serikali kuhusu ujio wa Rais wa Congo nimecheka sana.
Yaani Ukisoma hiyo taarifa , Utagundua hii nchi huko serikalini hakuna watu wenye akili na maarifa,Unatuambia kwamba unawakaribisha wacongo kuwekeza kwenye Kilimo,uvuvi na mifugo.
Kwamba Mkongo ana teknolojia gani ya kuja kuwekeza kwenye Kilimo?
Mkongo huko kwake ana changamoto ya ardhi mpaka aje kuwekeza hapa kwenye Kilimo?
Mkongo sio Mkulima wala mfugaji , Mkongo anatalegemea hata nyanya kutoka nchi jirani.
Ukifika kwenye mpaka Tunduma utakuta Maroli yanapakia nyanya,mchele,unga wa sembe kupeleka Congo kwasababu wao hawana kilimo cha maana,hawana teknolojia .
Unasema unataka ushirikiano na wacongo kwemye madini,
Sielewi kama wanajua kwamba Wacongo wana madini kuliko sisi.
Huko kwao hawana teknolojia yoyote na hawana hata mfumo sahihi katika kusimamia sekta ya madini, Madini yao yanaishia kuporwa na wachina na wageni.
Sisi kwetu,Tunahitaji Mcongo kama mteja wa Bandari zetu ambapo kwetu kama nchi tunapaswa kuhakikisha tunakua na miundombinu sahihi kuanzia Bandarini hadi mipakani.
Barabara, reli na kuondoa usumbufu mkubwa barabarani.
Tunapaswa kuhakikisha mipaka ya Tunduma na Kigoma inakua kisasa ili kuhakikisha mzigo unafika kwa wakati, sio kujadili Kilimo,uvuvi,madini na mifugo na watu ambao wamefeli na hawana uwezo wowote kimtaji na teknolojia.