@SimbaSCTanzania Plz and plz muangalieni sabu ya morison na boco namabeki tena dah jana pascal na onyango awakuwa saw kama siku zote kabisa xijui ilikuwaje ila namini matokeo tutapata wakija huku mungu yupo
@SimbaSCTanzania Yani mabao yote niyavichwa kwasababu anapewa nafasi yakupiga vichwa angekuwa anabanwa xana axingeweza kupiga kichwa alafu upande wakushot kunajamaa wakazer cheef alikuwa mwenyew akipokea mpira anapiga shuti inafungwa nakichwa yani alikiwa habanwi anakaa tumwenywe
@SimbaSCTanzania Jamani kimwana simba nimeumia san ila ndo ivo ila naombeni kuangalie sabu ya morison na boco morison anabadili matokeo xaa yeyote alafu boco nimtu wavichwa mnamuekaje dakika zamwisho misho dah jamna