Kwa hiyo wakimbie wawaachie nchi yao warusi!
Duuh tuombe Mungu Tanzania tusivamiwe, kwan kwa mtazamo huu tutawaambia jwtz wakimbie ili wavamizi waichukue nchi kirahisi kabisa!
Ingawa Urusi imefanikiwa kuchukua mji wa Liman, Bado vikosi vya majeshi ya ukraine wanaendelea kuushambulia mji uo kwa makombora ya masafa marefu kutoka mji jirani.
@MakanjiraM@Reagan85520863@siadevinci Kwa hiyo wakimbie waachie nchi yao warusi!
Duuh tuombe Mungu Tanzania tusivamiwe, kwan kwa mtazamo huu tutawaambia jwtz wakimbie ili wavamizi waichukue nchi kirahisi kabisa!
Ukweli ni kwamba, SSH ana tofauti kubwa na JPM katika baadhi ua masuala. Lakini wawili hawa wanafanana sana katika maeneo mawili. Mosi, wote ni viumbe waoga wa kukosolewa, upinzani imara ni hatari kwao. Pili, wote wawili wanapenda sifa na kupongezwa, tena kwa maazimio ya bunge.
Teuzi za Rais zipunguzwe na zinazohusiana mihimili mingine zipitishwe na bunge ili kupunguza madaraka ya kuingilia mihimili mingine kiutendaji.
#KatibaMpya#WenyeNchiNiWananchi
@jjmnyika@ChademaTz Miaka 30 ya demokrasia ya vyama vya siasa nchini ina sura tofauti tofauti kutegemeana na mtawala aliyeko madarakani. Demokrasia ya ya miaka 30 ya vyama vingi ilileta maumivu makubwa kwa watetezi wake.
@johnpallngy@jjmnyika@ChademaTz Ni dhana inayohubiriwa na baadhi ya watu wanaovuta bahasha kutoka CCM na Serikali.
Ukuchunguza utapata ukweli.
Wapo mamluki na pale wanaposhtukiwa wanaanza kuhubiri hiyo dhana!
@jjmnyika@Shaddy_mk@ChademaTz Sura ya jeshi la polisi libadilishwe na kuwa huduma za kipolisi ili kuliweka karibu na wananchi, hii itasaidia polisi kufahamu jamii zao kwa ukaribu hata kuvumbua mipango mbalimbali ya uhalifu.
#KatibaMpya#WenyeNchiNiWananchi
@lifeofmshaba Sura ya jeshi la polisi libadilishwe na kuwa huduma za kipolisi ili kuliweka karibu na wananchi, hii itasaidia polisi kufahamu jamii zao kwa ukaribu hata kuvumbua mipango mbalimbali ya uhalifu.
#KatibaMpya#WenyeNchiNiWananchi
Uteuzi na utenguzi wa majaji uwepo katika katiba ila uzingatie matakwa ya kikatiba ili kulinda uhuru wa mahakama kuingiliwa na mtu au taasisi nyingine yoyote. Vigezo na sifa za mtu anayetakiwa kuwa jaji iwe ni pamoja na weledi na maadili ya mtu
#KatibaMpya#WenyeNchiNiWananchi
@BawachaTaifa Sura ya jeshi la polisi libadilishwe na kuwa huduma za kipolisi ili kuliweka karibu na wananchi, hii itasaidia polisi kufahamu jamii zao kwa ukaribu hata kuvumbua mipango mbalimbali ya uhalifu.
#KatibaMpya#WenyeNchiNiWananchi
@DrEdwrd @HKigwangalla@moodewji@Zayb_tz@mshambuliaji@ahmed__ally @SimbaScFanPage @SimbaSCFansPage Anakera nini wakati maswali yake Ni ya msingi?
Bora tumuuzie @moodewji Simba nzima ili atengeneze FAIDA na asione Simba Ni mzigo.
Ainunue pesa walipwe wanaSimba wenye kadi za uanachama.
Sisi tubaki washabiki Kama tulivyo kwa MU, LVPL, MCity, nk
Uteuzi na utenguzi wa majaji uwepo katika katiba ila uzingatie matakwa ya kikatiba ili kulinda uhuru wa mahakama kuingiliwa na mtu au taasisi nyingine yoyote. Vigezo na sifa za mtu anayetakiwa kuwa jaji iwe ni pamoja na weledi na maadili ya mtu
#KatibaMpya#WenyeNchiNiWananchi
@Mfaransah@cw_pedro Basi sio Chama Cha Siasa.
Nguvu za Chama Cha Siasa Ni wanachama na ushawishi wake kwa umma.
Ukijichimbia dolani unakaribishwa uvunjifu wa amani usiomithilika!
Kila siku unategemea polisi, msajili wa vyama, Jeshi, MAHAKAMA, bunge, tume ya Uchaguzi, serikali, nk unataka Vita?
Kwahio shukraan ni kuficha wizi?
Je, mlitaka asemwe kifichoni ili sisi wenye hela tusijue kua wanatuibia lengo lenu nini? Je, ni mangapi maovu mmeyafanya ambayo hamkututajia hadharani? I STAND WITH WHAT GAMBO DID (Kusema Maovu hadharani) @ccm_tanzania@SuluhuSamia
@siadevinci You are considering territorial integrity as sambusa that anybody can take it unquestionably.
You're giving Russia right to defend its sovereignty.
You are giving #Ukraine no right to defend the same.
That is insane!