@prf_hugo@HildaNewton21 Yaani hawa wakiwa wanatoa hoja zao za kupinga kila kitu kama hauko kwenye hyo field lazima utawaona wakweli ila kama upo sehemu hiyo ndo utajua hawa sio wapinzani ni wagonjwa wa afya ya siasa. Tuliopo bandarini tunajionea ufanisi, inatosha
@HecheJohn Heche mpo sahihi sana, hawa vijana kinachowasumbua ni uoga na uchawa. Shikilieni bomba hapo CCM bado haijawa na dhamira ya dhati ya kuwa na uchaguzi huru na wa haki, haihitaji tochi.
@tanpol Lakini pia wapelelezi wanalalamima ugumu wa kazi yao hasa upande wa mitandao kupata taarifa za mtuhumiwa yuko wapi lakn pia wanalalamika hawawezeshwi usafiri na posho ya kujikimu kufatilia watuhumiwa. Nitoe rai kwa viongozi kushughulikia swala hili kwa umuhimu wake. Asanteni
@tanpol Kw aushauri wangu mngeanzisha utaratibu wa RB za kwenye mtandao, linapotokea tukio lolote kuwe kuna mfumo ambao maelezo ya raia yatawekwa kwenye mfumo na mpelelezi aliyepangiwa kesi ataonekana kwenye mfumo na ataweka progress ya kesi hadi mtuhumiwa anapofikishwa mahakamani. 5
@privaldinho Ukiisoma vizuri Qur'an unaweza usirudi tena kwenye bible. Mi niliisoma nikaishia kati mambo yanayopakazwa na kilichomo unagundua ni propaganda za kugombania wafuasi wa dini. Tunawaacha wapagani na waabudu masanamu, tunawapiga spana waislam wanaoshea historia moja na sisi
@sukununu01 Haya ni matokeo ya sisi wazazi, baba anacheat waziwazi na mama analipa kisasi kwa bodaboda na vijana wengine. Baadae wanagombana mbele za watoto. Basi hapo tunasema dereva karuka matokeo yake ndio hayo teenagers wanaamka
@godbless_lema Mkimaliza kusali sala za kuomba huruma, mkimbilie Canada mkapewe hifadhi za ukimbizi wa kisiasa maana hapa biashara zenu zilishakufa na ruzuku hakuna tena
@lifeofmshaba Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta, ila watoto wake wanaitazama hii video na baba yao wanamuona amewafanya kama "binti wa yombo" wanaficha sura zao kwa fedhea