@zumbekhan_ Mm hata huwa si hangaiki..nachukua simu yangu naenda selcom pesa naingia upande wa kutuma pesa namwambia andika namba yako hapo walau nikupe asante hata ya kuniskiliza tu nilichokwambia..akijichanganya akaandika nikatuma na pesa ikafika na akasema asante..imeisha hiyo
@PMadeleka Ni kweli polisi wanatupenda sana yani ndiyo maana tukikutana nao barabarani na sare zao nyeupe wakitusimamisha tunawaachia na hela ya maji kidogo kwa sababu wanatuomba na sisi tunawapa maana tunawapenda sana. Si ndiyo wananchi ee
@HildaNewton21 Mwanzo bandari ilipokuwa chini ya TPA wamefanya uozo mwingi sana huyu DP world mnaemsema vibaya kwa hilo namtetea mama mwanzo bandari watu waligeuza kama mali zao binafs..kwa yeyeote anefanya kazi bandarini ataelewa hili kuwa tatzo sio mwarabu tatzo lipo kwa watanzania wenyewe
@Sativa255 Ila huyu wazr si ndo aliajiri watu wa division four 32 hadi nne akisema ndo watendakazi wa police..sasa hv anataka mageuzi ya nn wakati police wengi ni formfour failure
@ajirapsrs@SuluhuSamia@ridhiwankikwete Mnanitia hasra sana sana kunakada za kufanyia usahili ila sio kada ya ualimu ..au tuwatoe na nyie kwenye hzo nafas mje muendeshe boda mwaka 1 alaf tuwape mtihan mfanye tuone kma mtatoboa?
@ajirapsrs@SuluhuSamia@ridhiwankikwete Badilisheni huo mfumo msiwapotezee muda na nauli. Nyie mnakaa kwenye vikao mnapata na posho please mnazd kuwatia uchungu mwambien rais nchi bado inaupungufu wa walimu vijna wa wawatu hadi wamekata tamaa kuomba hizo kaz zenu mkiambiwa mnasema mfumo sijui data base
@ajirapsrs@SuluhuSamia@ridhiwankikwete Hivi kweli mtu kamaliza 2019 amepambana kutafta ajira amekosa ameamua ajiajr na boda boda leo unampa mtihan unamuuliza mambo ya isimu wakati hata mwalimu anaefundsha darasani anatumia kitabu kusoma maana ya isimu ndo awaelezee wanafunzi
@ajirapsrs@SuluhuSamia@ridhiwankikwete Huu ni ushauri tu kuna hii kada ya ualimu vijana wa watu mnaelewa 2016-2023 chukueni hawa vijana wapeni intern mwaka mmoja wakafundishe baada ya hapo muangize kwenye kazi rasm kutokana na performance yao kwenye intern kuliko kuwasumbua na hizo data base