Tujadili kitu kimoja kuhusu Ligi yetu tuachane na Simba na Yanga, tunakumbuka huyu Kocha wa Yanga aliyesepa Saed Ramovic aliwahi kusema ligi yetu inakosa INTENSITY? Kifupi alikuwa anamaanisha Kasi, nguvu, jitihada na dhamira za Wachezaji Kiufundi? Naona kama Kocha wa RS Berkane karudia kusema kile kile.
Ramovic alitaja nchi kama Morocco, Afrika Kusini, Tunisia na Misri zimetuacha sana kwenye eneo hilo, sasa tunalitibu vipi? Nini kinakosekana kwenye Ligi yetu?____
@bbcswahili NYINYI SASA NDIO MNATAKA KUANZA KUPOTOSHA
MSHAANZA KUTEKELEZA AGENDA ZENU
KWANZA MFANYE TU KAZI KWENU, @bbcswahili@BBCWorld@TZMsemajiMkuu KWANINI KILA MKIRIPOTI AFRIKA NI MABAYA TU