@EduTalkTz Mikutano imeingilia haki ya nani?Hii Dhana ya tunadhani watatenda kosa haipo katika sheria zetu. Sheria inataka mtu ahukumiwe kwa ushahidi na si kwa hisia au intelijensia au viashiria, indiyo sheriamaana inavitaka vyombo vya ulinzi na viwepo ili viweze kubaini uvunjifu wa sheria
@PMadeleka Hauna tofauti kubwa, kubwa ni kiasi gani na ndogo ni kiasi gani? Ni mtumishi wa ngazi gani, fani gani?
Ndiyo maana walimtua chini. Hatuna mnyakyusa wa jinsi hii. Msomi gani anatoa statement vague kama hii
@godbless_lema Hajitokezi sababu Hana Cha kueleza, uchumi SI eneo lake la kujidai, amewekwa tu pale kama picha ya Nyerere ya ukutani kwenye ofisi haisaidii kitu katika uendeshaji wa ofisi
@RashdaZunde@LastbornWaMama Alifanya kwa mujibu wa sheria siyo kwa hisani yake. Fedha za Serikali hazilipwi kwa hisani ya mtu, zinatoka kwa mujibu wa Katiba, shiria, kanuni na miongozo. Hatuamki tu usingizini na kusema Rashda shs xxxx kwa uchawa wake. Ukifanya hivyo ni uvunjivu wa sheria utapamba a CAG
@RashdaZunde Kitu chochote kikifanywa kirafiki tafsiri yake ni rafiki wa mtoza Kodi hatalipa Kodi Bali asiyekuwa rafiki atalazimika kulipa zaidi. Athari zake ni kupanua wigo wa rushwa sababu walipa kodi watataka kujemga urafiki na TRA.itakuwa na adverse reaction ilipwe kwa mujibu sheria
@PMadeleka Majibu ya jumla jumla hayawezi kukupa jibu la maana. Usikurupuke. Jiulize kwanza " kwa Nini wanachukiwa?
Fanya utafiti kwanza.
Ni mafanikio Yako?
Umefanikiwa katika Nini?
Haya mafanikio yanawanufaishaje wengine?
Kama umefanikiwa ni kwa njia gani ?
Njia halali, nusu halali haramu?
@HildaNewton21 Wako wapi akina Kikwete waliojiita Supper Diplomat?
Wako wapi akina Malechela waliorodheshwa kama watu wenye Hekima Afrika? Nchi haiwezi kuwa inaongozwa na mtu 1.Kuna maana gani kuwalipa mafao lukuki kama hawalisadii Taifa?Tutawazikaje kwa heshima zote za kitaifa wakati hatuna
@HildaNewton21 Hizi hoja za kusema ni Mange Kimambi au Maria Sarungi au wanaharakati au CHADEMA Ina maana Serikali imeshindwa kulipatia ufumbuzi tatizo? Hawa wanaonyooshewa Kidole wameishinda akili na mbinu. Serikali yenye think tanks, watu wenye akili wameshindwa kurejesha amani nchini? Kweli!
When they are done hiring โparrotsโ internally but still advertise the opening just to fulfill donors and investors requirements. This is the kind of leaders trusted for sometimes. ๐Knowledge makes a man to be unfit for a slave, stooge, scapegoat, puppet as well as sycophant.
Kaka sijakuelewa: una maana Polisi na mahakama, siku hizi wanapanga KAZI zao pamoja? Polisi inaiagiza Mahakama ( ya Rufaa) ipange vipi ratiba Yao? Seriously?
#ALERT 7 JULY Gen Z wametangaza MAANDAMANO.
HALAFU 6 JULY Kesi ya Mwenyekiti
Kitaalamu kwa jicho la KINTELEGENSIA ni kwamba POLISI wanataka watumie hio siku ya 6 July KUWAKAMATA wanachama wa CHADEMA pale mahakamni kwa kisinguzio cha HAYO MAANDAMANO ambayo sio ya CHAMA.
@Mwabuk2Boniface Tatizo ni kuwa wanatanyika Wana CCM wameshakuwa wazanzibara. Wao wanaruhusiwa kutibiwa katika Hospitali za Zanzibar. Wanaruhusiwa ma Rais wa Zanzibar ( rejea Rais Hussein Mwinyi) ni Mtanganyika wa Mwanalumango
Sasa Waziri amesema ukweli kwamba sifa mojawapo ya wanaoteka Nia awe tishio kwa Usalama wa nchi:
Ni nani anayeweka vigezo vya mtu hatarishi? Kwa sheria gani inayoruhusu serikali kuteka. Anapelekwa mahakama gani?
"Ukijiuliza Maswali, Djumbe mimi namfahamu, karibia wote na tunafahamiana vizuri sana. Hivi unajiuliza yeye ni tishio kiasi gani kwa nchi au kwa uongozi mpaka ufikie hatua ya kufanya vile? Maswali tu ya kawaida kujiuliza.
Watanzania tumefika hatua ya kwamba tunatuhumiana kwa kiwango kikubwa kuliko kwenda kwenye uhalisia. Na wakati mwingine unaweza ukadhani labda amelengwa mtu fulani,"