Maisha hayaamuliwi kwa Malalamiko๐. Tuendelee na mapambanoโ๐ฝ ila tusikariri aliyetutendea mabaya๐ฅฒ basi ni lazima yatamkuta mabaya...
Matarajio yanaua amani ya nafsi ๐๏ธ
@EliabuDanford@Mputamaseko Wakiwa ikulu wanaishi maisha ambayo hata hawajawahi kuyaota kwenye ndoto zao. Wanaanza vizuri watu wema wakishaonja power hawatakagi waondoke eneo Hilo kabisa, hata akiondoka Bado atataka apewe heshima kubwa ka mstaafu
May we also #PrayTogether for #Tanzania, where, following the recent elections, violent clashes have broken out, leaving many victims. I urge everyone to avoid all forms of violence and to follow the path of dialogue.