Sema hili jamaa Kisaikolojia lipo strong sana limepambana na umasikini, limepambana na agenda mpaka sasa bado lipo fiti na linapambana
Kuna kale ka andunje kalipigwa presha kidogo tu mpaka kakastaafu soka tena mara mbili wakakabembeleza na wakakaahidi kombe na wakakapa ila Mbuzi wetu bado ameendelea kua imara
Ronaldo ni Goat 🐐
Mwaka huu, epuka watu wanaotoweka unapowahitaji na kurudi wanapokuhitaji. Linda energy yako. Chagua mtu ambaye anaweza kukulipa fadhila kuliko mtu ambaye una historia nae.