Balozi wa Ufaransa nchini FREDERIC CLAVIER amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje Prof.PALAMAGANDA KABUDI na kumkabidhi Barua kutoka kwa Rais wa Ufaransa inayotoa Pongezi kwa Tanzania kuingia Uchumi wa Kati na Amempongeza Rais @MagufuliJP kwa kufanikisha hilo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbasi ametaka wasanii wasifungiwe ovyoovyo nyimbo na filamu zao bila kushirikishwa na badala yake, wawe wanaitwa kwa hatua ya kuelezwa kosa lao ili kuwasaidia badala ya kuwaadhibu.
Balozi wa Ufaransa Clavier akimkabidhi Mhe. Prof Kabudi na barua kutoka kwa Rais Macron wa Ufaransa kwenda kwa
@MagufuliJ kumpongeza kwa kuchaguliwa tena. Ufaransa inatarajia uongozi wake huu wa pili kuendelea kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Ufaransa.
@TZMsemajiMkuu ambae pia ni Katibu mkuu w wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo amezungumza na wadau na taasisi za michezo nchini na kuwasisitiza juu kuijenga vema timu ya taifa @TaifaStars_ kwa lengo la kuboresha soka na kuleta matokeo mazuri nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali leo Jumapili Novemba 28, 2020, amewaongoza Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kukagua ujenzi wa stesheni ya Morogoro ya Reli ya Kisasa (SGR).