Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Mei, 2021.
#VIDEO Rais Samia Suluhu Hassan amewasili Jijini Dar es Salaam akitokea Jijini Dodoma. Leo Mei 07,2021 jioni atazungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kula nao futari katika ukumbi wa Mlimani City.
TUACHE UPUUZI UPUUZI HATA KAMA HATUNA JAMBO LA KUFANYA. Umeichafua sana nchi umeshindwa, mmetamani tukwame mmeshindwa,Sasa mnaombea mabaya nchi yetu na Kiongozi wa Nchi yetu. SHERIA YEYOTE INAPOVUNJWA, HAKUNA CHA MIPAKA, WALA HAKUNA CHA MUDA KUPITA.
Kiongozi wa Nchi sio Parishworker Kanisani wala sio Mzee wa Kanisa kwamba alipangiwa zamu na hakuonekana!, Kiongozi wa Nchi Sio Mtangazaji wa TV kwamba alikuwa na kipindi Ila hakuonekana! Kiongozi wa Nchi sio kiongozi wa jogging clubs kwamba anatakiwa kuwa tu mtaani kila siku
"Tumeona hali hii sio Sawa na sio sahihi natoa maelekezo na Rai kwa wananchi waache mara moja kujaribu kuiba mafuta ni suala la kuhujumu uchumi na kuhatarisha ulinzi na Usalama wa wananchi wa Kigamboni."
RC Dar es Salaam Aboubakar Kunenge
#ZiarayaRcKunengeTPA
Naibu Spika, Tulia Ackson amempa Mbunge Felister Njau siku saba kuthibitisha kauli yake kuhusu kukamatwa kwa mabegi matano ya kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020. Njau ametoa kauli hiyo bungeni wakati akichangia hotuba ya Rais Dkt. @MagufuliJP ya ufunguzi wa Bunge la 12.