Chiba inaonekana alimisi sana Konyagi. Yaani ametua tu Bongo ameanza kukandamiza Bapa kubwa, akiwa along side rafikiye Mzee Mboye, A.K.A Dija..π€£π€£..
@HildaNewton21 Huyu mzee anazeeka vibaya ameanza kuzuzuka,, kuna kitu anamendea kwa wafipa na wafipa yalivyo mazuzu yataingia kingi tenaπ€£π€£π€£π€£
MIRADI MIKUBWA YA MADARAJA ILIYOKAMILIKA CHINI YA UTAWALAWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN...ππ½ππ½ππ½
βπΏ Kakamilisha Ujenzi wa Daraja la Tanzanite β Dar es Salaam urefu wa (km 1.03)
βπΏ Kakamilisha Ujenzi wa Daraja la Ruhuhu - Ruvuma urefu wa Mita 98
ποΈποΈ Kwani mpaka leo kuna mwananchi asie fahamu hilo,, au mnataka tuwape rasilimali zetu wale panya pale ufipa wajenge vyoo vya wanachama,, aseee,,
@HildaNewton21@HecheJohn Yaani panya wa ufipa ni njaa tu zina waendesha wanajisahau serikali ya Ccm ndio inawafanya sasa watoto wanasoma elimu bure,, umeme vijijini,, aloooo,π€π€π€ Panya hashibi ata umpe chakula,, kiasi gani