Wananchi wa Tarime wakipita katika mitaa kwa mbio za hapa na pale wakiimba na kusisitiza kwamba wameichoka CCM. Hizi ni sehemu ya pilika za kampeni katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
NB; wakati huo, MaCCM yalikuwa yanazindua kampeni zao uwanja wa shamba la bibi, Tarime.
Mhe @TunduALissu Nimefika Tarime kwasababu kuna viji-neno neno vinasema hivii,, Kwamba Tarime bado kuna CCM.
WANANCHI: Hapana huku Tarime hamna hio kitu.
#PeoplesPower
CHUMA KIMEWASILI TARIME MJINI MUDA HUU:-
Baada ya kuhitimisha mikutano ya hadhara jimbo la Tarime vijijini. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. @TunduALissu amewasili muda huu jimbo la Tarime Mjini kwaajili ya kuhitimisha mikutano ya hadhara kwa siku hii ya leo.
Mhe @TunduALissu Nimefika Tarime kwasababu kuna viji-neno neno vinasema hivii,, Kwamba Tarime bado kuna CCM.
WANANCHI: Hapana huku Tarime hamna hio kitu.
#PeoplesPower
‼️ APPRECIATION ‼️
Kwa heshima na kutambua mchango wa alie record video ya tukio hili sisi kama wana X tunatuma salamu nyingi na shukrani kwa mtu huyu ni shujaa kwetu na tuna hamasisha watu wa record matukio haya ili dunia na watu waone
Tumpe retweet 500 alie record hili tukio