@PolycarpMDM Sio lazima kwa uwanja wa taifa kwa sababu tuna open roof na nyasi zinapokea direct sunlight.... Ila kwa So-Fi stadium iliyofunikwa na paa la ETFE haipokei direct sunlight hivyo kulazimika matumizi ya alternative UV light ili kutunza ubora wa nyasi za uwanja.
Opening Twitter immediately after waking up to check the state of the world is basically our generation’s version of our grandfathers reading the newspaper every morning.
Mafanikio sio kitu cha siku moja. SpaceX wanatumia pesa nyingi sana kufanya maendeleo madogo madogo katika ujenzi na maendeleo ya starship zao.
Hadi sasa wamerusha starship 12 kupata data za kuweza kurusha kitu kiende mars.
Je waweza chukua risk kama ya space X?