Kesi ya Lissu hata angesikiliza Mwanafunzi wa first year wa Chuo chochote, hata wa certificate tena wa hivi vyuo vya pembeni bado asingeweza kumfunga!
Ni vitu vya kawaida sana vimejadiliwa kwenye ule uamuzi! Yani mtu anashindwa kufanya analysis ya Minor and cognate offence?
🚨‼️BISHOP BAGONZA THREATENED‼️
This is a well known person - threatening openly Bishop Bagonza
@tanpol is turning a blind eye
Ukiona kobe juu ya mti kawekwa! Kobe mwingine huyu anatumia jina halisi na video yake ipo anajulikana - anamtishia Askofu Bagonza waziwazi ila hutasikia polisi wakisema kitu!
Watekaji tunawajua mbona! Na wanaowatuma tunawajua!
Tusimungunye maneno
#SamiaMustGo
Imagine how much you have done in 21 days! But Twaha Mwaipaya does not have the freedom to do anything! He was abducted 3 weeks ago
As a victim of persecution by the oppressive Samia Suluhu regime, he fled Tanzania to seek safety in Kenya
Transnational repression is a CRIME
#FreeTwahaMwaipaya
Good morning
Twaha Mwaipaya is still not free
Being a dissident is not a crime! His safety and liberty is an UNALIENABLE right
Abducted in Kenya, authorities need to ensure his safe return! Samia Suluhu’s murderous cabal must not be allowed to engage in transnational repression!
#FreeTwahaMwaipaya
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpya…….
Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
‼️JAJI NDUGURU HAKUAZIMISHWA, ALISHIRIKI KWA HIARI KUANDIKA HUKUMU‼️
Taarifa niliyopata ni kuwa Jaji Ndunguru alizunguka kuulizauliza kuhusu cognate offense (yaani kosa dogo) la uhaini. Aling’ang’ania kuwa South Africa treason yaani uhaini Ina makosa madogo. Kwa SA ni kweli kosa linaendana na sedition na incitement lakini aliambiwa na kila aliyemwuliza kuwa kwa Tanzania hakuna kitu kama hiki. Akagoma kusikiliza sasa KAUMBUKA! 🙄
Sasa shida yeye ni mwenyekiti wa jopo na shida kubwa kwa sasa Tanzania hamna dissenting opinion, la sivyo hivyo kuna jaji au majaji wangeweka hukumu tofauti. Na ndiyo maana hukumu zilikuwa mbili. Ile inayomwonyesha Ndunguru peke yake ilivuja kabla ya kupandishwa Tanzilii, ilikuwa ni ya mfumo wa ndani wa mahakama. Hiyo ndo ilikuwa nakala yake aliyotii maelekezo ya Abdul!
Ila uzuri Haki itashinda na washiriki wote wa dhulma watajulikana na kuwajibishwa!
#FreeTunduLissu
NAOMBA SERIKALI IBORESHE MAZINGIRA YA MAGEREZA ZETU ILI ZIWE ZA KISASA NA SHERIA YA UENDESHAJI WA MAGEREZA ZIWEKWE VYEMA, hili lifanyike si kwasababu wote ni #wafungwawatarajiwa
Bali pia naona kama wanaonyanyasa watu kwa magereza kuna siku zitakuwa nyumba zao kwa haki kabisa.