Siyo kila jambo linaweza kubadilika unapolikabili, lakini hakuna jambo linaloweza kubadilika bila kulikabili kwanza.Ujasiri wako sio tu kwa ajili ya kuitoa CCM madarakani bali ni mindset transformation juu ya thamani ya utu na haki kwa vizazi na vizazi. Haupaswi kuwa jela hata kidogo. Nafikiri we are not doing enough kama wananchi.
Taifa lilishuhudia mauwaji ya watoto kama huyu lakini kuna wanaofanya mzaha eti waligoma, wanataka nje na wakitaka kupindua serikali. Msikilize huyu mtoto akisimulia alivyopigwa risasi Oktoba 29; 2025
Huu utani mnaoita maridhiano bila kukiri na uwajibikaji taifa halitaponywa.
Kwa mujibu wa katiba ya @ChademaTZ2 makamu mwenyekiti bara ndio mwenyekiti wa kamati ya maadili. Katiba hio inaweka mipaka ya matumizi ya mitandao ya kijamii, makamu anarepost uzushi dhidi ya kiongozi mwenzake wa chama ili hali katiba inamkataza.
Nani atamfunga paka kengele?