Daima wanaokupenda ni wengi kuliko wanaokuchukia. Usitumie muda mwingi kuhangaika na wachache wanaokuchukia. Katika uhai wako si rahisi ukutane na 1% ya watu duniani(watu mil 70). Hivyo,zaidi 99% ya watu duniani hawakujui na hawakuchukii. Hangaika na wakupendao na kukutakia mema!
Maujanja kwa Wajasiriamali Chipukizi:
⇒ Kuwa na subira
⇒ Jifunze kuuza
⇒ Tafuta mshauri
⇒ Dumu na wazo moja
⇒ Pata mhasibu mzuri
⇒ Chagua muundo sahihi wa biashara
⇒ Tenganisha fedha zako na za biashara
⇒ Elewa hesabu za msingi (Faida & Mizania)
Wewe ungeongeza lipi?
Umeshawahi kusoma kitabu kikabadilisha kabisa maisha yako?
Mtazamo wako wa pesa, maisha, na mafanikio ukabadilika tu!
Hivi hapa vitabu 5 vya lazima usome kabla 2025 iishe.
Thread:👇
Kwa viongozi wote wa Baraza la Wazee na Baraza la Vijana waliochaguliwa, hongereni kwa ushindi wenu! Bidii yenu katika harakati zetu imekuwa msingi wa mafanikio haya, inayowapa fursa ya kuwa viongozi wa kuonyesha njia kwa wengine katika kuongoza Baraza lenu. Kwa wale ambao hawakushinda mara hii, juhudi zenu zina thamani kubwa kwetu na mnabaki kuwa nguzo muhimu katika safari yetu. Tunapoangalia mbele kuelekea uchaguzi wa ndani wa Baraza la Wanawake, nawatakia kina mama wetu heri ya kufanikiwa na wepesi katika kukamilisha jukumu hili muhimu. Kumbukeni, we are Stronger Together katika kufanikisha harakati zetu za kutafuta Tanzania bora, na sasa zaidi kuliko wakati wowote, tunahitajiana. Tuendelee kujenga chama chetu kwa umoja, upendo na moyo wa ujasiri, ili pamoja, tuweze kufikia ndoto zetu.
#ChademaMkutanoMkuu2025
#ChademaNationalConvention
Einstein's insight reminds us that intelligence is not just about knowledge or IQ but also about the capacity to adapt and grow in response to new challenges and opportunities.
✨Albert Einstein famously said, "The measure of intelligence is the ability to change."
This quote emphasizes the importance of adaptability and flexibility in assessing true intelligence. Rather than being rigid in thought, a truly intelligent person is open to new ideas,
willing to learn, and able to adjust to changing circumstances. In a world that is constantly evolving, the ability to change is crucial for problem-solving and innovation.
empowering ones. Reinforce them daily.
5. Behavioral Congruence:
↳ Bridge the gap between your thoughts and actions.
Let your mindset guide your behavior.
Your biggest asset is your mindset.
Guard it, grow it, let it flourish.
---
Quote: Gary Vaynerchuk
Your biggest asset is your mindset.
It shapes everything you do.
Your thoughts create your reality.
Your beliefs determine your actions.
A growth mindset sees opportunities.
A fixed mindset sees only obstacles.
2. Growth Orientation:
↳ Embrace challenges as opportunities for learning and improvement.
3. Optimism Practice:
↳ Actively seek out and focus on positive aspects, even in difficult circumstances.
4. Mental Reprogramming:
↳ Consciously replace limiting beliefs with
Don’t let someone’s success fool you into thinking you can replicate it.
It’s easy to look at someone who has hit it big and think, “I can do that too!”
But here’s the hard truth: success is not a one-size-fits-all journey.
There are also some factors we fail to consider.
Align your goals with what you are genuinely good at and what excites you, rather than trying to copy someone else’s formula.
So, next time you're thinking of chasing someone else’s success, focus on carving out your own path.