Novels (Riwaya) za Ngongi wa Thiongโo ni :
๐๐ฟ Weep Not, Child ya 1964
๐๐ฟThe River Between ya 1965
๐๐ฟA Grain of Wheat ya 1967
๐๐ฟPetal of Blood ๐ฉธ ya 1977
๐๐ฟDevils on the Cross ya 1980
๐๐ฟNa Matigari ya 1987. Kweli X Unapata kila kituโฆ..๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Nakumbuka Mwaka wa kwanza Oโ Level Nilipelekwa na Baba yangu Skonga baada ya kufika tu Wahuni wa Form two wakanichimba biti kinoma eti nikapige simu Chooniโฆ.๐๐ Kumbe Cha Ajabu alieniambia hayo Maneno ni Ndgu kabisa dear lkn tulikuwa hatujuana ..Itaendelea โคต๏ธ.
It More Pumpkin ๐ for formation of Obesityโฆ.kipindi hiki nilikuwa O level Mtenga Sec School Chini ya Mwalm RK na Head Master Mmoja hivi Alikuwa Anatwanga kifaransa tuโฆMemories Never Die.