@leo_unsc@EliabuDanford Yaaani unaandika kama Hopeless ety "Nothing special there" kah! Acheni bhana uchizi huo ata app hii waliotengenza wamarekani unashinda kuokoteshwa ela
@SeekNaturalLife@Fefe_doll Hakuna tuzo ya kuteseka kaka ,baridi Lipo ujuaji tuache kila mtu ana mwili wake na kila mtu anaviwango vyake vya kuvumilia hali ya hewa...
NB;Hakuna tuzo ya kuteseka mzee wa makete
@SaumuYanga@kibaha_finest Kiduku alikuwa anapewa onyo, 'oya wazee wamesema acha hizo mambo " ye akaswma "wakija nitawapa mafuta kwenye kinyeo mpaka wameremete akajaa kakaa 2 weeks tu saivi kimya . Maisha ya mtandaoni ni tofaut na uhalisia tuwe makini