@millardayo wanao jiita watu wa mungu mbinguni ndio wanao mpa point tatu bwana Onesmo Mushi kutetea hoja zake kuwa mungu wa mbinguni ni nadharia tu... Je' Mungu wa huyu Askofu ndiye mungu unae muamini wewe uliye poteza ndugu, jamaa na rafiki 29 Oct 25 ?
@AnthonyKasota@EduTalkTz WAZAZI/WALEZI tunakuwa tunawaona (mwili, sauti na matendo)
ivi kuna mtoto alie telekezwa na baba yake angali kichanga kisha aje kumuheshimu, kumnyenyekea, kumtii au kuwa na imani ya kupendwa na baba ambaye ajawai kumuona? Je, una kaa upande gan kati ya WAZAZI na MUNGU?
@KilooVoltI @kenafricx21 addiction ya kamari sio nzuri, unaweza ukapewa iyo ela apo apo ukaanza kuipigia hesabu ya kuitafutia odds 2 una sahau kuwa ume pewa ili uache kubet.