@TMnyama4_ Nimeliwaza hilo jana tu.
Nadhani mafanikio ni kutengeneza mazingira ambayo utakuwa proud nayo sana kuanzia kazi,marafiki na mwenza wa maisha.
If you won’t find peace in pursuit of love you will be miserable person. Guaranteed
1. Unfortunately, Forex Trading illingia bongo kwa mgogo wa Affiliate influencers wa SA, wakawauzia ndoto za utajiri wa haraka.
Vijana ambao Forex iliwapiga makonzi miaka hiyo Ya 2016-2020 wakagive up, ni matokeo ya Get-Rich mindset iliyozaa Overleveraging wakablow up. 👇
Sisi ndio tumewa inspire hao… Mdogo Wangu yule… nyie mnamjua kama Cado Kitengo, ila tulikuwa tunamuita CADO NONDO “mzee wa Midamu”
Appreciate art from everyone, or shut up and keep it moving, ki-gangsta
Watu wengi wanaingia Forex trading na betting wakifikiri ni njia ya haraka ya kutoka kimaisha… lakini ukweli wake uko tofauti kidogo.
Kwenye ile interview ya Magnetics ina mengi sana ya kujifunza ukiitazama kwa jicho la kuelewa na sio kwa mihemko.
Ntaiweka point yangu 1 kubwa niliyo ondoka nayo kwa upande wa wakamalia (Maafisa Ubashiri).
Milioni moja (1M) inaweza kukutengenezea laki moja kwa urahisi kwenye betting.
Lakini laki moja kuigeuza hadi milioni moja ni ngumu sana, hasa kwenye hii biashara.
Na hata ukifanikiwa mara moja, kuirudia consistently ndio changamoto kubwa.
Betting si shortcut ya utajiri, ni mchezo wa risk. Jua unacheza na nini, na uwe tayari kuwekeza kile unaweza kuvumilia kukipoteza pia.
Jifunze ku-balance risk to reward ratio. Siyo katika trading tu. Hata katika biashara au uwekezaji wa kawaida. Especially hata kwa wakamalia Kwani KUTOBOA ipo katikati ya hofu (fear) na tamaa (greed).
Kijana ana brain, ni talented amefanya aliyofanya ku survive, and it's life we all do that.
@cr_xniper Wanahate sababu not everybody can make it. It shows hawapo disciplined enough, hawajaheal bado inawauma watu kuendelea na kitu ambacho wao kimewashinda!
@Positivenga1 Kuna watu wamefilisika kwa kilimo
Kuna watu wamefilisika kwa kufuga kuku
Kuna watu wamefilisika kwa madini
Nadhani watu waachwe wajaribu bahati zao, just because haikuwork out kwako haimaanishi haitawork out kwa wengine.
Felia zipo kila sehemu, its a beautiful part of life❤️
@WolterMuro@Mchinagraphics Sio hata kwa kuletwa chadema kama tu wasingemfanyia fitina kulekule still angrkuwa ndio rahis bora wa muda wote.. next ni TAL