@EsirEid Dawa Diet tu, achana na supplements
1. Muda sahihi wa kula ambao ni regular (Usile usiku sana)
2. Kula Chakula cha asili katika Mpangilio sahihi
3. Pata mfungo mwepesi
Shot 16 times in an assassination attempt in 2017, Tundu Lissu is the great survivor of Tanzanian politics.
But after having been charged for treason - a crime that could lead to the death penalty - has he reached the end of the line? https://t.co/t5expFlZjK
Kwa wenye shida ya athma na vidonda vya tumbo dawa hiyo.
Kazi ni kwenu.
Mungu hakuumba vidonge, aliumba mimea inayotoa mbegu na matunda ziwe chakula na chakula ni dawa