Hauna mishe lakini una WiFi?
Usikate tamaa—hizi ni websites 5 bora zitakazolipa kwa kazi rahisi mtandaoni.
Unaweza kuanza leo, bila uzoefu, ukiwa na simu au laptop tu.
Let’s go! (Thread):👇
Taarifa.
Ninayo furaha kutambulisha rasmi jarada la Album ya tatu ya Dizasta Vina itakayoitwa A FATHER FIGURE.
Album hii yenye jumla ya nyimbo 20 itatoka rasmi tarehe 06.01.2024
Sambaza Habari. #AffAlbum
@iamcleopatricia Mungu kamwachia shetani ili aweze kujibu uongo aliodai Adam na Eva kuwa yy( shetani) ni mtawala Bora kuliko mungu ndio maana alipokua anamjaribu yesu "nitakupa falme zote za Dunia", na yesu alikuja kukomboa wale wanaoaminj waishi milele katika paradiso km lengo la mungu kuumba