@Deo18Tarimo Hii ni kwasababu Konyagi ina kiwango kikubwa cha pombe (kawaida karibu 35-40% ABV). Pombe huganda katika joto la chini zaidi kuliko maji, kwa hivyo friza za kawaida, ambazo huwa na joto la karibu -18°C (0°F), hazitakuwa na baridi ya kutosha kuigandisha.
Tech isn't for the faint hearted.
Being a techie hasn’t been something easy But we love it.
Cheers to making an honest living doing the things we love.
One of the best things you’ll do for your self is investing In your self
Study, buy gigs, attend events etc
Happy Sunday 📍
Mtu yuko tayari alipie Netflix, Spotify, Apple Music, YouTube Premium etc, ila wakati huo huo anatumia Free VPN, Free antivirus, Cracked Windows, Cracked Microsoft office etc.
Haya mambo haya 😀
Shida ni nini?