@gratian_barbosa unaelewa maan ya "must win match" kweli? game ya jana ya Barca na PSG ni game ya kukusanya points tu ambayo ata kama ingekua ni PSG kafungwa jana isingempunguzia chochot kwasabab bado zipo game zingine nying na unaweza ku recover lost points,,must win match ni kama game za KO
@George_Ambangil kaka JOJI me nasimama na Licha mpaka mwisho alichosema ni ukweli mchungu kwa Man Utd mimi namuunga mkono kabisa maan huo ndo ukweli wenyewe๐ค๐ฏ