@zittokabwe Nasikitika kuwa safari mzima hakuna jambo la faida ulilojifunza. Amekupa hadithi za kushindwa kwao, nawe unatamani kushindwa kama wao. Ebu achana na huo ujinga, njoo kwa mpambanaji JPM
@MsigwaGerson @DrMallaba Matatizo ya viwanja ni mengi. Watu wananyanganywa viwanja vyao na aya makampuni ya upimaji, na kuwauzia wengine. Makampuni haya wanashirikiana na baadhi ya watendaji wa halmashauri. Juhudi za serikali zinaitajika apa.
@Anyisile @AllyHapi Unadhani umaili ni kuandika maneno mabaya kwa DC? Ni kiwango cha juu cha kukosa ustarabu. Unashindwa ustarabu kwenye kuandika ujumbe mfupi ivi, ukipewa power utakuwa mstarabu? Jifunze siasa safi. Ok?
@AllyHapi Ni jambo la kipekee sana. Ni jambo la upendo sana, na kuwafundisha ushirikiano. Raisi wetu ni mtu mzuri sana kwa watanzania wote. Viva @MagufuliJP
@VenantPrince Mkopo upo kuwawezesha wanafunzi wasioweza kujilipia ada. Ndo hao waliosoma shule za umma. Wanaosoma private wanao uwezo wa kulipa ada ya chuo. Mfano mtoto anasoma feza schools, analipoa 10mil kwa mwaka, atashindwa kulipa 1.5mil?
@MarkMwandosya@Chahali Amefuzu mafunzo, na hali ya kisiasa imerejea kuwa kawaida. Ile tahaluki imeondoka. Umejifunza mengi, we hope utakuwa raia mwema na mbunge mzuri.
Hii ndio demokrasia. Watu wote ni sawa kabla ya sheria.
@KisalalaEmmanu1 Nyie mnatumwa na nani? Mnaosahau kuwa wazalendo, hamuwezi kuona kuwa tunajijenga upya, lazima tuwe na kipindi cha mpito. Jifunze kuwa mzalendo kwa nchi yako.
@zittokabwe@raymond48385110 Mkuu @zittokabwe mnapinga kila jambo. Hutoi mawazo ya kutengeneza ajira mpya, hujui wahitimu wanaongezeka? Badala ya kuongeza mishahara, bola kuongeza wanafunzi wanufaika wa mikopo, kuboreshwa huduma za jamii nk. Raisi anayo nia njema.
Tunaamini @MagufuliJP atatuvusha
@BBiragi Ela ipo ndo maana serikali inatekeleza miradi mikubwa ya reli, flyover, umeme vijijini nk. Ayo hayatoshi kukwambia ela tunayo? Bado changamoto ni ajira kwa vijana, huduma za jamii, mikopo wa wanafunz nk. Toshekeni na mishahara yenu, hutaki achia nafasi, wengi wanaitafuta.
@kalaghadutu@ngurumo Yaani umekuwa muongo, adi video zako za uongo ilimradi tu ueneze chuki.Urudi nyumbani utuombe msamaha tutakusamehe watanzania @ngurumo
@ngurumo Raisi amekuwa mpole sana siku izi, sio kama alivyokuwa waziri.
Lakini kasi yake ikienda hivi adi 2025, atatuvusha. Tunayo imani nawewe baba @MagufuliJP
@Thistime2moro @ClubMagufuli@ccm_tanzania@hpolepole Raisi anayo mamlaka kumteua yeyote amtakaye ikiwa atamwamini kuwa ataweza kumsaidia.
Huwezi kumpangia na huo ukanda haupo, ni chuki zenu binafsi.
jaribuni kuwa na mawazo chanya
@ManenoIzaak @Thistime2moro Wale ni wafanyakazi wa chama. Wana haki ya msingi kusherehekea sikukuu ya wafanyakazi kama wafanyakazi wa umma na wa sekta binafsi. Kila kada walivaa sare zao leo
@nikkwapili@wayrre Vyama vya wafanyakazi vina sauti na vinafanya kazi kwa mujibu wa sheria. Tatizo ni urasimu wa viongozi wake. Wafanyakazi wa umma wako vizuri. Lililopo ni upungufu wa ajira kwa wahitimu wapya. Na serikali yetu inajitaidi kutengeneza ajira mpya.
Tanzania kwanza