Sijui mtajiteteaje ila BACK BENCHA napata MASHAKA sana kama hizi RISASI zinapigwa na RAIA au ASKARI japo kwa wale walioenda kwa mujibu KANEMBWA izo zote zingekuwa mwilini mwa kiboko 🤔
@Caamil8 Ili hii furaha idumu Master ki abaki pale shimoni kusukuma mashambulizi, apate na ile winger yetu ile tunao swap na mazembe. Walahi mwakani Mamelod wakituibia goli moja tunawafunga mengine 10. Niamini mimi president