His grace mtoa huduma mwenye roho nzuri afanye the deed akutoe akupeleke mjini, Ila kama si lengo basi apaki Magufuli na safari ianzie hapo, kuna watu kama wewe waliowekwa pale na kuwekeza waliotegemea ujaji wa stendi itawapa hauweni pia mbona hao una wa ignore ?au ndo ujali
His grace mtoa huduma mwenye roho nzuri afanye the deed akutoe akupeleke mjini, Ila kama si lengo basi apaki Magufuli na safari ianzie hapo, kuna watu kama wewe waliowekwa pale na kuwekeza waliotegemea ujaji wa stendi itawapa hauweni pia mbona hao una wa ignore ?au ndo ujali
Ipo hivii mkuu nimetoa mfano wa kuonesha kile unachotaka kihalilishwe si sawa ,stendi ya basi inajulika ni Magufuli na iwe hivyo ndo maana chalamila alisema kuna special hire ndogo ambazo kama lengo la mtoa huduma ni kukuleta mpka mjini na azikodi mbona simple au akodi daladala,
@coolguy__1 Mkuu
Unalinganisha SGR na Mabasi kweli?????
Naomba kukuuliza kuwa Biashara ya Mabasi ni Huduma kama Huduma nyingine tu
Mtoa huduma anapoamua kuwasogezea wateja wake hudumakaribu kuna kosa gani???
Unatoa mfano wa SGR sababu unajia haiwezekani kuwa na Sub office kama Mabasi.
Hakuna haja ya kulalamika mbona sgr ikishusha amuiambii ifike makwenu, na je meli zikitoka zenji na je airport , tatizo lilianza pale mabus yalivyonormalize kuleta abiria mjini Ila hii isingekuaa normalized usinge lalamika, stendi ilitoka ubungo kwenda magufuli na itumike ipasvyo
Nimejarbu kuangalia Gharama ambazo zimeongezeka kwa abiria baada ya Bus kuzuiwa kutoka na abiria Stendi ya JPM Mbezi.
Chukulia Mfano abiria wa Chanika.
Zamani kuna basi zilikuwa zinaanza Safari na kumaliza Safari Chanika. Leo hii abiria anashika Mbezi JPM.
1. Kama ana Mizigo kuna Gharama za wabeba Mizigo kuutoa ne
2. Hizi ni Gharama za Bolt kutoka Mbezi JPM kwenda Chanika. Kiwango cha chini sana kutumia 22,000. Kama ana Familia nachukua Gari ambayo ni 61,000/=
Mwananchi wa kawaida ukimwambia sijui mambo ya megawatts sijui uzalishaji hawezi kukuelewa. Anachotaka yeye aunganishiwe umeme kwa bei nafuu, akinunua umeme kwenye luku iwe nafuu kwake na umeme usikatike kama mtoto anachezea switch.
madhara makubwa ninayoyaona mimi ya tabia na mwenendo mpya wa freeman mbowe ni kuwavunja moyo vijana na kuwafanya wasite kuunga mkono harakati za ukombozi. anathibitisha msemo usiyo sahihi wa 'siasa ni mchezo mchafu,' na kujenga kizazi 'apathetic.' labda hiyo ndo 'new mission.'
Kwenye uwekezaji usiende kwa pupa ni swala la fundamentals, usifanye uamuzi kisa umemsikia social media influencer flani kasema ivi mostly wao huwaga paid kupromote certain agenda,mfano CFE iliundwa kwasababu dse ilitakata DSA kuwapa jina zuri ndo wakawaita CFE. “Allegedly”
Vitu vengine ni ignorance tu watu huko YouTube na wengine wana webinar zao hutoa elimu nenda ukaongeze knowledge uko watu hutajirika kweli na wengine hupoteza kweli , so kwenye worth it or not it is and it is not kulingana na elimu na ujuzi ulioupata kutoka kwa wataalam.
Rough ni 20% increase, means kama uliweka 10M sasa hivi una 12M excluding dividents,
Swali langu, is it worth it kuweka hela sehemu kwa miaka 9 na value ipande kwa 20% tu?
Naomba kuwasilisha!