@Beberuwabutiama@mangekimambi Ni wa kuaminika hana shida. Ni muungwana. Siyo mtu wa kutunishiana misuri uso kwa uso (ni mtu wa aibu) . Hana uso mkavu sana km wa Lissu au Heche. Kila mtu kipaji hupewa na Mola.
@louis_hermes3@EliabuDanford Achana naye huyo mlevi furani tu. Hajui hata waisrael halisi wanawakataa hao Israel ya Netanyau. Anashindwa kusema kurudi kwa Yesu kumekaribia yeye eti Alimagedonia.
@MkulimaKante@Mrsembuche27 Wee. Unapigwa ya utovu wa nidham na utoro kazini. Umefukuzwa kazi plus kifungu cha kujitetea within seven days usipo fanya hivyo barua inakuwa applicable.
@ZPlanmaster@RamadhaniRupia@bajabiri Ukinunua mbuzi kwa bei ya shilingi 200 ukaiuza kwa tshs 50, hiyo hela tshs 150 ya hasara inaenda kwenye mifuko ya watu?
@ZPlanmaster@RamadhaniRupia@bajabiri Yaani ni hivi, DSE ni km mnada wa ng'ombe wenye wachuuzi. Wananunua leo, kesho anamleta tena akitarajia atauza kwa faida. Inatokea mchuuzi una ng'ombe na ni lazima uuze (unahitaji hela), siku hiyo hakuna wanunuzi wakubwa, waliopo offer ndogo. Lazima auze kwa hasara(soko kushuka)
HARAKATI ZA SERIKALI HARAMU: “They Think The World is as Stupid as Them”
SSH juzi anamuapisha Makamu Wake, alafu anashukuru Mabalozi na kudai wamewaonyesha jinsi tunavyoweza badili Uongozi kwa amani. Hivi mnadhani International delegates ni Wajinga eeh? Wabongo tu sio Wajinga ila mnawatishia maisha ndio maana wapo Kimya.
Nchimbi anaandika Barua kujiuzulu na kusema tarehe rasmi ya kuachia ngazi anaipost Instagram
Nchimbi anapatikana kwa Simu ila hasemi mengi!
Ofisi ya Rais inajibu kuwa Rais SSH amepokea na kuridhia maamuzi
Ofisi ya Makamu Wa Rais inatangaza Mpishi wa Nchimbi amefariki
Nchimbi hapatikani tena kwa simu zake
Post ya Tanzia ya Mpishi wa Nchimbi inatoweka kabla watu wengi hawajaiona!
Kisha CCM wanaitisha Mkutano wa Dharura wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu; ukiongozwa na Mwenyekiti wao, Rais SSH.
Usiku Usiku wanatangaza kumfukuza Nchimbi Uanachama wa CCM, permanently!
Kidogo asahau, ila Katibu Mkuu wa CCM, Asha Rose Migiro anasema Jina la Makamu ni Ndejembi
Nchimbi bado hapatikani kwa simu wala Ndugu, Jamaa, Marafiki kujua alipo
Bunge Linampitisha Ndejembi kwa 100%! Unprecedented in 2026 hata kura moja kutopinga wala kuharibika. Hakuna Mbunge amehoji Whereabouts za Nchimbi, wala legitimacy ya kufukuzwa kwake bila hata kuwepo hati ya Kosa lake.
Mwanasheria Mkuu anasema Umakamu wa Nchimbi umekoma sio September 4, wala sio baada ya Kuapishwa huyo Ndejembi.
Kwenye Uapisho Nchimbi hayupo… Philip Mpango, Makamu wa kabla ya Nchimbi na Wastaafu wengine wapo ila huyu ambae amemaliza muda wake au alisema atamaliza muda wake wiki hii, HAYUPO!
Alafu Ndejembi anakabidhiwa Ofisi na watu wengine, maana Nchimbi bado hapatikani kwa simu na hajulikani alipo.
Activists online wanaanza kampeni ya FREE NCHIMBI, kutuaminisha yupo Kizuizini.
Kweli Confidently unasema KILA KITU KIPO SHWARI?
Mmetishia MEDIA zisimuongelee Nchimbi! na Media za Kimataifa zinaongelea JUU JUU; mnaamini Watanzania ni Wasahaulifu na Wajinga so hawaoni wala hawang’amui kinachoendelea. Na sasa mnadhani na WAGENI ni hivyo pia… 🤣
We Know! Wageni, They Know! Zaidi mnazidi dhihirisha kuwa Serikali sio tu Haramu, bali inaongozwa na “Darasa la 7C”
Mtajuta Kutusomesha!
The Leader
@VPabloness@HildaNewton21 Huyo km watafika basi watapewa makavu sana. Ila gavoo watachomoa kabla ya Heche nahisi. Utasikia, "serikali haina nia ya kuendelea na kesi hii"