Tanzanite na Silver kwenye rangi za bendera ya Tanzania, jiwe ambalo linapatikana Tanzania tu na mali ghafi zote zimetoka hapa nchini. Jivunie kuwa Mtanzania kwa kuvaa bidhaa iliyotengenezwa na Watanzania, Tanzan Bracelets kutoka Craftan Gems #ProudlyTanzanian 💎
Emerald pear shaped faceted with Zircons on white Gold, the birthstone for May we source our world famous Emeralds from Sumbawanga region in Tanzania #Craftan
Tujivunie kuwa Watanzania kwa kuvaa bracelet zenye rough Tanzanite na Silver pamoja na uzi yote ikitoka Tanzania na ambazo zimetengenezwa na Watanzania, kwa bei ya 150,000/- tu #ProudlyTanzanian
Kwa mahitaji ya vito vya thamani kama pete, cheni, bracelets nk ambazo nazo zipo crafted na madini kama Tanzanite follow @craftangems and place your orders now.
Haijawahi kutokea, OFA ya mwaka mpya 130,000/- tunapokea order siku zote na kufanya free delivery by popular demand OFA itaendelea hadi 7/1/2020. Funga na anza Mwaka na Tanzanite ‘Tanzan Bracelet’ by Craftan Gems.
Jipatie Tanzan Gold plated bracelet ya rangi upendayo yenye original Tanzanite iliyokatwa kwa bei ya funga mwaka ya 430,000/- tu punguzo la asilimia 20% ofa iko wiki hii nzima, bidhaa bora iliyotengenezwa Tanzania na Craftan Gems. Mwenye RT 1000 anapata bure. #ProudlyTanzanian