⚠️Audi A4 Gari Moja Ya Kichawi Sana, Twende Pamoja utanielewa
.
Audi A4 ni line ya compact executive cars ambazo zimekua kwenye uzalishaji tangu 1994 huko German na Audi ambayo ni subsidiary ya Volkswagen Group..
.
Subsidiary yani ni kama CCM na ACT hivi [Jokes] 😎 Tuendelee..
@FadhyMtanga@Fortu75043160@zittokabwe@SuluhuSamia Nao walipokwisha lisikia neno hilo wakaondoka wakisimuliana wao kwa wao na habari hizo zilienea hata kuvuka vilima, mito na maziwa hadi Kenya na Rwanda