@babasele5@Sylva_de_last@bbcswahili Sasa hii haina utofaut na ile ya professor j aliyeuziwa chain ya bandia naye kapewa hela ya bandia,tuliozoea jiji tunaset mambo kwenye mtandao.kaa chonjo.
@Janetburjkhalif@frediejustine Na hizo bit zake watu anaweza ona US hawana uwezo wakuwakabili,lakin us ikijaanza mambo yake ndiyo wengi watujua siyo watu wakawaida.
@bbcswahili Matokeo ya utawala wa kidikteta ndiyo kama haya lolote linasema tokea kwa fikra za amri ya mtu mmoja tu inawagharim watu wengi wasiyo na hatiya.
@robbybling__ @joblessforsure Yanga ni timu ya mashabiki
Funguen akili zenu na kujua timu ya yanga siyo timu ya wananchi,yanga inabaki kuwa ni timu ya mashabiki tu,na Timu ya Taifa ndiyo inabakia kuwa timu ya wananchi. Mnauwa uzalendo wa kuishabikia Timu ya taifa mnataka yanga iwe ya wananchi hilo halipo.