Mambo 5 Mwanaume mwenye familia unatakiwa usipuuze kwa sasa
1. Usimwachie tu mke awe mlezi wa watoto wako
Wanaume wengi wanajua kazi yao ni kutafuta chakula malezi ya watoto ni mama tu ila mambo yamebadilika sana ...
2. Andika warithi wa mali zako ukiwa bado hai ๐ ....utaokoa watoto wako
3. Usiruhusu wanaume wakubwa kuliko watoto wako walale na watoto wako chumba kimoja hata kama mjomba wako au kaka zako
4. Usiruhusu dada yako aliyeolewa akaachika aje kukaa hapo kwako muda mrefuu na watoto wake ...mtafutie kazi au mtaji akapambane na maisha yake
5. Fatilia watoto wako kama wanapata chakula according to pesa unayoacha nyumbani