Kuigiza maisha ni gharama mana inabid uigize hali hiyo kila siku wakati uwezo huo we huna ipo siku utakuja kuumbuka tu.
Ishi kwa uhalisia wako utakuwa huru.
Ukweli ni Kwamba mwanamke wako anaweza kukutumia wewe Message “Usiku mwema” na akamtumia Message mwanaume mwingine kuwa “Leo Nimeshindwa kulala kabisa”.!!😒😂