@hancymachemba@adertsjohnes@JerrySilaa Bado na Mkuu wa Mkoa pia nae alikuja na aliahidi hadi kufikia jully mwaka barabara ingewekwa kiwango cha zege ila hadi sasa ni bila bila. Sijui kama wajawazito wanaziwangatia kwa hili!!
@CarolNdosi Nahitaji kupata msaada wa kuwajengea nyumba walezi wangu waliopo Morogoro kwa kuwa sasa hivi hawana mahala pa kuishia baada ya kuamua kuvunja iliyokuwepo kutokana na uchakavu wake.
Natamani kupata msaada wa kifedha kukamilisha hilo, ama kwa mkataba wa Ardhi.