TAARIFA KWA UMMA
Kabla ya Girlfriend's Day tarehe 1 Agosti, unashauriwa kuhakiki jina lako mapema kwenye Daftari la Kudumu ili kuthibitisha kama bado upo kwenye mfumo.
Baada ya tarehe hiyo, malalamiko hayatapokelewa.
Ahsante,
โ Semaji la Wanaume ๐โ๏ธ
Mafanikio si bahati, bali ni mlolongo wa hatua ndogondogo unazochukua kila siku. Leo anza safari yako ya mafanikio kwa kufanya kile ambacho wengine wanaogopa kuanza kukifanya.
Good Morning X family ๐๐
Leo Soap suluhisho la Afya ya ngozi yako na kwa Familia,ni nzuri, salama na ulinzi tosha wa ngozi.
๐งผ lnaondoa mikunjo,Mafuta yalizidi na kuipa ngozi yako mwonekano wa asili na Mng'ao
๐ Kwa Tsh 3,000/=
๐ฉ DM / WhatsApp uagize : https://t.co/nor0F4yVTl
#FreshSkin#Sokoletu
Kazi yangu ni ile ile, nisapotini hata kwa RT tafadhali๐๐ฝ๐ฅฐ
For makeup appointments
Call/ Whatsapp ๐ฒ 0676335537
๐Sinza Mori, Ahadi St
#glammedbyqueeenminah