๐จ๐ฃ BREAKING: Azam FC imekataa kumuuza kiungo wao mshambuliaji Feisal Salum (28) ๐น๐ฟ kwenda Simba SC kwaaji msimu ujao wa 2026-27 kwasababu bado wanamuhitaji! ๐ฅ
Azam FC wana makubaliano na Young Africans SC kuwa ikiwa watahitaji kumuuza ndani ya nchi ya Tanzania wapewe taarifa.
Mjadala kuhusu Mji wa Katoro, Mkoa wa Geita umeendelea kupamba moto katika siku za hivi karibuni kufuatia sherehe ya kifahari ya kumuaga Monalisa Buyamba ambaye ni Bibi harusi mtarajiwa.
Tukio hilo limekuwa gumzo kubwa katika Mitandao ya Kijamii na Vyombo mbalimbali vya Habari, kutokana na matumizi ya magari ya kifahari, helikopta iliyombeba Bibi harusi huyo kwenda ukumbini pamoja na kiasi kikubwa cha fedha kilichochangwa wakati wa sherehe hiyo.
AyoTV imefanya mahojiano na Monalisa Buyamba ambaye amesema matumizi ya helikopta pamoja na fedha zilizotolewa katika hafla hiyo vilikuwa ni mshangao kwake na kwamba hakuhusika katika kupanga maandalizi hayo yaliyovutia hisia za wengi.
Aidha, Monalisa amewataka Wanawake kutokukimbilia Katoro wakiamini kuwa watapata wenza wenye uwezo mkubwa wa kifedha kutokana na tukio lililotokea katika sherehe yake.
Amesema kila Mtu ana riziki na wakati wake, hivyo ni muhimu kuwa na subira na kumwamini Mwenyezi Mungu ili kupata mwenza aliyepangiwa, badala ya kufuata mitazamo inayotokana na matukio yanayosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii.
#MillardAyoUPDATES
Pep Guardiola ametazama mechi ya Man City dhidi ya Liverpool akiwa na binti yake anayeitwa Maria jukwaani. Guardiola alikuwa anatoa maelekezo kwa timu yake kwa njia ya simu na bado ameifunga Liverpool magoli 4.