Thank you for everything King
The World Cup doesn’t define you or your greatness.
It wasn’t meant for us but football will always love you
THE GREATEST FOREVER❤️
“Accept Messi is the GOAT” for scoring a hatrick against Algeria
Did you accept Ronaldo was the GOAT when he scored a hatrick against Spain ?
Clowns 😂😂😂
And this is what i grew up seing till today from my parents,so mtu asinishauri tofauti na hapa ukitaka uhuru usiolewe, ukitaka vya kwako usiolewe kila mtu abaki na fungu lake🤭🙌🏾
Gyokeres, by the way, what a player.
He won two league titles in a row before coming to Arsenal, took the number 14 shirt, scored 14 league goals and won Arsenal their 14th league title in club history.
The scriptwriters can eat.
@Thereal_Kabote Ukiwa hujaoa au huishi na mwanamke lazima utajifanya unajua sana vigezo, unajua sana kuchagua, unajua sana kupoint out yupi anafaa na yupi hafai, mpaka uone ndio utaelewa...
@prossoff@Saidi68201@mgata_odinga Kiuhalisia kakuuliza swali sensible sana sema umemjibu juu juu.. wewe unasema wasomi wasiolewe sababu wanaharibika chuoni, sasa binti yako hatasoma au utakua comfortable asome na asiolewe?
Umeandika blah blah nyingi sana humu na viuongo unavyovipush kuwa ukweli.
Kama kitu hujui uliza, huwezi kuuliza ...kaa kimya, hiyo nayo ni hekima.
Unasema Yesu hakuwa mkristo...sasa anakuwaje Mkristo wakati yeye ndio Kristo mwenyewe. Hilo neno "mpakwa mafuta" Masihi" ndio "CHRIST" hujui?
Paul hakuanzisha Ukristo (Christianity). Hilo jina lilianza as a mocking name( Jina la utani) kwa wanafunzi wa Yesu katika mji wa Antiokia (Matendo 11:26). Kwasababu walikuwa wanafanya kama Christ (Kristo) wakawaita Christians(Wakristo). Ni kama leo uwaite watu wanaokufuata wewe na kuimitate everything unafanya kisha wataniwe waseme hao si "waGIPSON".
Andiko nililoweka hapo juu linasema "hapo ndio kwanza walianza kuitwa Wakristo (Kalisome, Acts 11:26)
Pia umeongea blah blah nyingi sana za kumuhusu Yesu kama mwanaharakati aliyetaka kufanya mapinduzi. Yesu mwenyewe alikataa. Kwasababu Wayahudi walifikiri na wanaamini Masihi ndio alipaswa aje hivyo na kufanya hayo. Ndio maana walikuwa wanamuuliza maswali kama ni lini tutarejeshewa ufalme wetu? Response za Yesu was so spiritual rather than kimwili.
Yesu alikuja kufanya mapinduzi kweli ila sio ya falme za kidunia ila za KIROHO. Shetani alikuwa on the wheel na kifo cha msalabani cha Yesu na ufufuo wake vimetupa tumaini jipya la KUSAMEHEWA DHAMBI, KUPATANISHWA NA "MUNGU BABA" na KUOKOLEWA KUTOKA KWENYE UFALME WA GIZA. Haya yote matatu yanatokea kwenye maisha yako ukiamua kumuamini Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako maana yeye ndio njia ya kweli na uzima. Na Yesu akamundoa shetani kwenye wheel. We have all power in HIM ((spiritual power)
Selah.