MBINU ZA KUKUZA UUME UKIWA NYUMBANI KWAKO BILA KUTUMIA DAWA YEYOTE ILE.
"Kati Ya Unene na Urefu Wa Uume Ni Kipi Kilicho Muhimu Zaidi Wakati Wa Tendo...?"
Nimekuwa Nikiulizwa Swali hilo mara kwa mara, Ngoja nikusanue jambo kabla hatuja songa mbele..!!
IPO HIVI....
Kulingana na sayansi ya tendo kutoka kwa wataalam (Sexiologists) wanadai kwamba,
Katika tendo unene ni wa muhimu zaidi.
Na Hii ni Kwa Sababu Kinacholeta Raha Wakati wa Tendo ni Msisimko.
Msisimko Unatokana na MSUGUANO (Friction) Unaokuwepo Kati Ya Uke na Uume.
Msuguano Huu Unahusisha Kuta Za Uke (Yaani Pembeni)
Ambapo, Kama Uume Ukiwa Mwembamba Basi Ni wazi Kwamba,
Msuguano Hautakuwa Mzuri.
Hali hii inaweza kupelekea mwanamke na kwanaume kutokufurahia Tendo.
Japokuwa....hii haiondoi umuhimu wa urefu.
Ni muhimu sana uume uwe mrefu.
Kwa sababu urefu wa uume unahusika na hali ya mwanaume kujiamini.
Ndio maana uume ukiwa mfupi unaitwa "Kibamia" π
Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kuwa raha na kuridhika wakati wa tendo la ndoa vinategemea mambo mengi zaidi kuliko tu ukubwa wa uume.
Mambo Hayo ni Kama Vile Mawasiliano mazuri, uhusiano wa kihisia, na kuelewa mahitaji na mapendeleo ya mwenzako
Kwa Pamoja Hayo ni mambo muhimu sana katika kuhakikisha kuridhika kwa pande zote mbili.ππ¦
NB: Kama umenielewa Gonga Like π Kisha Turn on my post Notification.
Usipange Kukosa, Muendelezo Wa somo Hili..!! Ambapo tutakwenda kuona mbinu za kukuza uume ukiwa nyumbani kwako.
Mbinu zizo hazito husisha dawa ya kumeza wala kupaka, Tunafahamu madhara ya madawa hayo yanavyo waletea watu matatizo ya kudumu...π
@ikulumawasliano Hongera sana mama kwa kutafuta suluhu la wananchi wako wa kiwango cha chini kubebeshwa mizigo wasiyo iweza huku wateule wako wakiwza nafasi kubwakubwa tu.
@PMadeleka Sasa nia yako ni Nini? Kutaka sifa kwamba waifahamu sheria au? Dawa Yako ni kukunyang'anya kibali Cha kuwa wakili msomi ili iwe fundisho kwa watu wanaodhalalishi utu wa kijana wa kiume.
@privaldinho Hivi hata kama ni habari za kuitangaza brand yako, basi tumia akili vzr usitumie akili kama vile unatumia majani.
Kwani ukiitangaza brand yako ni dhambi au unaumia kwa mafanikio ya mwenzako ya kushiriki michuano hiyo mfululizo?
Yaan furaha ya Yanga ni mafanikio yake ambayo yanawafanya mkereke. Kwahyo hapo mm nina furaha wewe kuumia. Pole mtani. Tunza maumivu ya kuugulia kesho na mwisho wa msimu.
@privaldinho Sometimes ni kama akili zako ziko likizo I think, ulisema yanga kwa Sasa ni timu maarufu ukanda huu wa cecafa na Africa kwa ujumla, tukakubali Leo umegeuza kuwa ni timu Kubwa ok ukubwa wake ukoje ni kwa tz tu au?