Hivi ulishatambua Mungu anataka uwe mdhaifu ndipo akusaidie, anataka ujitambue kwamba wewe si chochote na si lolote ili uende kwake ndipo yeye akufanye uwe mkuu lakini lazima kwanza ukubali wewe ni mdhaifu!
๐
Vitani kuwa na siraha nzuri haimaanishi utashinda vita, ila shabaha kwenye kile unachokilenga na jinsi ya kumshambulia adui yako ndiyo vitakupa ushindi!
Kipaji sio bora, bora juhudi!
Player of the Season: Mateo Kovacic
Young player of the season: Mason Mount
CFC Women Player of the season: Bethany England
Goal of the season: Fikayo Tomori vs Wolves
#CFCAwards20
Tofauti ni kwamba Bayern Munich wanacheza kama fainali, Barcelona wanacheza kama kuna mechi ya marudiano!
Ila hii Barca ya kufumua yoteee, daaadeki!๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Wazungu wakikutana baada ya kuachana kitambo;
"Woow, you look great"
"You look good"
Wabongo tukikutana;
"Daah mwanangu umekondaaaa, ama kweli hali ngumu."
"We acha tu mzee, tunazidi kupambana"
๐คฃ๐คฃ๐คฃ
@CloudsMediaLive hii Sports Extra embu mtutake radhi...uchambuzi wenu mbona mnapenda kurahisisha tu, msimu uliopita waliowania tuzo ya kocha bora ni Pep, Klopp, Mauricio na Nuno, mbona hakuna mwingereza aliyeingia?