Kuna wakati KUCHELEWA kwa BARAKA unayohiitaji ni kwa FAIDA yako ili UJENGE MISULI inayohitajika ya kupambana na VITA inayoambatana nayo. Wakati wa kusubiri ni wakati wa KUJIANDAA na kujenga STAMINA inayotakiwa. Kuna vitu VINACHELEWA kwa FAIDA YAKO ili vikukute Uko IMARA, njia pekee ya KUVIHARAKISHA ni kwa wewe KUJENGA uwezo MAPEMA.
Usisahau Kuna wengi WALIHARIBIKIWA baada ya kupata BARAKA kubwa ambazo walikuwa HAWAJAJIANDAA KUZIPOKEA.
Kuna Muhindi mmoja alikuwa anaishi vizuri na vijana wake (wabongo).
Kutokana na wao kuwa waaminifu aliwaahidi atawapa mtaji siku za mbele ili na wao waingie kwenye uwekezaji wajitafute.
Madogo wakawa so happy.
Imagine after so many years, uaminifu wao finally UNALIPA!
๐งต
Ukiona unawezo kufanya kila kitu wewe mwenyewe basi ujue maono yako ni madogo sana. Ili kufanikiwa katika mambo makubwa kwenye Maisha ni lazima ujenge timu ya watu utakaosimama nao.
source: Kwenye kitabu cha @jnanauka Mifumo inyatengeneza watu wakuu wanaotawala
#uongozi#Dar
MUSA aliua MMISRI aliyekuwa ANAMUONEA ndugu yake akiamini kwa kufanya hivyo atakuwa AMEONYESHA upendo MKUBWA Kwa ndugu yake na ATAPENDWA zaidi. Badala yake NDUGU YAKE huyohuyo AKAMGEUKA siku ya pili. SOMO: USIUE hatima za WENGINE kwa KUAMINI kuwa UTAKUBALIWA zaidi. WATAKUGEUKA!
@Bongotech255@CloudsMediaLive Kwa kweli! Nipo kweli sector ya Utalii njengo ilo lapendeza liwe makubusho... Tutapiga watalii wengi wa ndani na nje ya nchi.. Sio tu kupiga watalii wa nje, lakini itakuwa kivutio kikubwa cha Dar es Salaam.
Kila siku inapoanza kuna mambo ambayo yako ndani ya UWEZO wako na kuna yale ambayo yatakuwa NJE ya uwezo wako. Wanaofeli ni wale wanaonza โKujistressโ KULALAMIKIA yale ambayo HAWANA uwezo wa KUYABADILISHA. WANAOFAULU ni wale WANAOANZA na yale YALIYO NDANI YA UWEZO WAO KWANZA.
Kuna MAJIRA kwenye maisha yako kitu pekee utachokihitaji ni KUELEWEKA. Yaani watu wawe TAYARI KUSIKILIZA na KUELEWA โYour Side of Storyโ. Bahati mbaya sana, WATU wengi huwa WANAHUKUMU kwa kile WALICHOKISIA KWANZA. Tafuta AMANI yako kwa KUZUNGUMZA na MUNGU WAKO. Ipo Siku Watajua!
Kuna wale watu ambao ndio CHANZO cha wewe KUCHELEWA kutimiza MALENGO yako. Siku utakayofanya MAAMUZI MAGUMU ya Kuachana nao,ndio huwa wa kwanza KUTAFUTA Mbinu ya kuhurumiwa ili WAPATE TENA NAFASI kwenye MAISHA YAKO. Uwe nao Makini Sana.๐๐ฝโโ๏ธ
See You At The Top
@2wsphotography Well noted I will check for it. Whenever you are in Dar es Salaam, please keep in touch and let have chat. I am in tourism and I am learning everyday ๐