Ghafla tu anarudi na kutaka kujustify ile tweet yake ya malipo kuonesha kuwa hakuwa peke yake ila walikula wengi, Kule napo Majamaa wa Uncle Sam wametoa ile tamko. Hii sio spin off tactic jamaa anatumika tena !? Maana why now, Anyway sisi wengine letu jicho!!
Nimekuwa hapo Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Hiyo sehemu na Ujenzi wa Barabara Vumbi lake sio Poa. Pako local sana Pia tho Pale chini kuna kale ka Nightclub Nasooma Kina Kuku wengi Sana kuliko Banda !!๐๐๐
Kuna Ile Video Kazinesa na Jamaa Sio Poa, Nugu ilikuja kichwa kichwa ikala Ngumi ya Uso then Mwamba Akanesa tena. Nugu ilibidi ichimbe, Yule Bodyguard Mwamba Sana !!๐๐
Kama kuna kitu Gavoo inabd wajiongeze ni kujenga Vyuo vya Ufundi "VETA" kila Wilaya kama Sio Kata na Kuviequip with competent trainers na vitendea kazi. Kwa idadi ya Magari na majumba yanajengwa kila kukicha we need good mechanics, plumbers, electricians etc!
Usiogope kujitafuta upya, hata kama italazimu ku-relocate.
Maisha ni marathon,Usingโangโanie vitu, mazingira, au watu ambao hawakufanyi kukua, bali wanakuua taratibu ndani yako.
Wakati mwingine hatua ya kuondoka ndiyo mwanzo wa kuishi kweli.
๐๐ Tunashukuru kwa kutusemea bhana, Leta Bill ya Bucket ya Heineken Baadae Nimalize. Namba yangu Unayo !!
Umesema ukweli mkubwa sana, It's not easy kufunguka maana kama sio matatizo yako kutumika kama Fimbo basi Jua Utadharaulika. Bora Ukaushe Upambane Tu.
Nitakuambia this, and inabidi tu uelewe.. (WABABA MTANIKOSOA)
Men are built to solve problems, ukiona hakwambii anachopitia ni sababu anajua hutatoa msaada.. utaanza kumuonea huruma. Au utakitumia badae kama FIMBO ya kumchapia!
Atakuambia hayuko sawa, ila Huwa hawaendi in details "UNLESS" ANAJUA YOU CAN HELP HIM SOLVE THE PROBLEM AT HAND..
Mimi nimekaa sana na wababa site, Kuna saa mtu unamuangaliaaa.. unamwambia tu "KAKA, NENDA NYUMBANI KAPUMZIKE!" without interfering..
Mwenda Over Yao Inakuwaga tu mistake ingine Bro anaifanyaga kwenye Kupanga kikosi, Haya Bhana. Uzuri we are no longer emotional about haya matimu. Ila pale Jangwani Tuna Shida Sana, Lolote na Liwe !!