They will always campaign against Chinese automakers, claiming that โcheap is expensive.โ But these are the things you will never see from HOWO trucks.
Mwandishi wa Habari wa @bbcswahili Akimzungumza sakata la mwijaku alivyomkejeli Mhadhiri Wa chuo kikuu Cha Dodoma (UDOM), aliyeomba kusaidiwa familia yake.
Asante @bbcswahili kwa kueleza dunia unyama wa CCM na Samia Suluhu
Simulizi hizi hata failed states hukuti! Ndo mjue nchi imeoza kabisa
Na msitarajie jambo hapa! Lazima tupambane wote kutoa mashetani haya
#TutaelewanaTu
Halafu kuna viongozi wakubwa wa dini wanahimiza kuiombea tume hii.
Jaji Chande, Jaji Ibrahim Juma na IGP mstaafu Saidi Mwema watu walioongoza vyombo vya kutoa haki walitakio kuuona mtazamo huu na kujiondoa ktk uhuni huu wa wanasiasa kutafuta wasafishwe. Hii ni aibu na laana.